Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Najua unatania tu,, huwez kukamatwa kirahis ivi Huo mchezo wengi tunaujua na. Huwa tunamalizana nao kimya kimya tu ww ulianzaje kutuma pesa kwa mtu Kama huyo
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
umeibiwa kishamba hivo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Account bado haijawa activated kuwa na subira........uwaroge watu wa Africa Magharibi unajipenda wewe.......by the way kama hii story ni kweli umetu aibisha wa BONGO........bora ungepiga kimya tuu usikilizie maumivu kimya kimya.
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Huo ni mtandao Mkubwa sana wa matapeli, yaani kwa maelezo uliyotoa huyo Dada hata mm aliniombaga urafiki fb tukaenda mda kidogo akataka email yangu tuchati nikamtumia Ila nilikuja kuanza kutia shaka alipoanza kutaja hela Mara ya mwanasheria, ohhh! Nikaona uthe..... Nikampotezea baada ya muda nikaja kuwaeleza jamaa zangu ndo wakanifungua macho. Pole sana
 
internet ni sawa na maisha unayo ishi katika dunia.unavo ona watu wakila aina ndo internet na maisha ya watu.kuna matapeli,walagahi,wafanya biashara,siasa,wanasayansi,wagonjwa,wakina bashite n.k
kwa hapo hata mimi na kucheka kama mtu boya wa matumizi ya mitandao
 
hii dunia kweli tunatofautiana, mchezo niliofanyiwa 2009 na nikagundua trick baadaya 2 email conversation, leo 2017 mtu kapigwa!!! 🙂 🙂

kanye west alisema "some people graduate, but still stupid"
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
KAKA huyo dada mbona tulishamjadili toka 2012 hapa JF achana na FB
 
Umeibiwa wizi wa kizamani sana wakati mitandao ya Internet ndio inaanza. Unachokifanya hapa ni kutueleza jinsi ulivyo mgeni na mshamba katika maswala ya mitandao ya internrt.
 
Na wewe ukajiona umepata deal kubwa. Hata kushare na wenzako ikawa sooo maana unataka kuzipiga pesa wewe mwenyewe. Umeanza leo kutumia internet? Kweli Washamba ni chakula cha wajanja...
 
Mtu ana dollar za kutosha anaomba vichenji vyako ku activate account akili za wapi mamilioni yaliyopo tuu yasifanye hiyo kazi austuki tuu..Kama wewe ni graduate tuna safari ndefu
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Mkuu huyo yuko senegal wao wako vizuri zaidi kwa uchawi kuliko huku ,isitoshe uliingiaje kipimbi kwenye hizo mambo?
 
KALAUMU ALIACHA KUKUSOMESHA HIOMICHEZO HATA LA SABA WANAWAJUA UNATULETEA UPOPOMPO HUMU..
 
Back
Top Bottom