Recent content by sungura23

  1. sungura23

    Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

    Kuna maeneo ya Kisemvule nayafahamu unapata kiwanja tena kikubwa tu kizuri hakipo bondeni na kimepimwa. Pi pameendelea maji umeme na daladala zipo. Ila ndani ya Dar es Salaam mmmmmh ni ngumu sana. Naishi Dar ila kwa maeneo nayoishi mm bila Mil 15 na kuendelea wala usifikirie kuhusu kiwanja...
  2. sungura23

    Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Aisee nimekupata mkuu. Nimepewa mwongozo na kweli nimeambiwa hili jambo linahitaji uvumilivu. Ubarikiwe
  3. sungura23

    Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Nina maana nina akiba ambayo haiendelei kupokea michango kwenye uanachama wangu. Nashukuru nimepata mwongozo ninaweza kwenda kuikomboa. Ubarikiwe
  4. sungura23

    Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Ahsante kwa support mkuu. Jana nimefika pale Benjamin Towers wamenipa mwongozo wote. Ubarikiwe
  5. sungura23

    Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Nashukuru sana kwa taarifa mkuu... na ushauri pia hahaha nmeupenda ushauri wako mkuu ubarikiwe sana.
  6. sungura23

    Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Habari wakuu? Natumaini wote ni wazima. Wakuu naomba kwa mwenye kufahamu taratibu za kukomboa (to claim) mafao ya NSSF iwapo mtu ulikuwa unafanya kazi na mwajiri alikuwa akipeleka michango. Mwaka 2017 hadi 2019 nilipata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya masuala ya hospitality. Mwajiri...
  7. sungura23

    Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi

    Elimu Fedha (Financial Literacy) Itawakomboa Watu Wengi Kiuchumi Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu...
  8. sungura23

    SoC01 Elimu Fedha (Financial Literacy) itawakomboa watu wengi kiuchumi

    Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja. Nitaanza kwa kufafanua elimu fedha ni nini, kuna...
  9. sungura23

    Computer4Sale Tunauza Laptop, tupo Kariakoo

    Kujifunza ni kitu kizuri sana... Mtu anayesema hawezi kutoa zaidi ya laki nne kwa pc used na hawezi kutoa laki 7 ka pc mpya ni mtu asiyefahamu anachozungumza. Gaming PC zipo kwenye class ya high end PCs, ni computer zenye uwezo mkubwa sana na specifications zake ni za juu. Cha pili ni kuwa hizi...
  10. sungura23

    Kwa hiyo M7 kawapa mabeberu mafuta kama zawadi ya kubaki madarakani?

    Mafuta yatakuwa bei rahisi kwa wateja wa Tanzania au Uganda? Bandari si ipo kwetu sasa punguzo la bei litakuja vp tofauti na sasa? Samahani mkuu mi sio mwanauchumi nauliza kwa lengo la kujua tu
  11. sungura23

    Kwa hiyo M7 kawapa mabeberu mafuta kama zawadi ya kubaki madarakani?

    Kwahiyo refinery plant ambayo itakuwa ipo Uganda itanufaishaje Tanzania?
  12. sungura23

    Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Richard Mabala

    Aiseee. Nimekisoma hicho kitabu nikiwa shule ila sikifahamu kuwa mwandishi wa kitabu hicho ni mzungu. Wenye ufahamu juu yake watatujuza kwa hakika
  13. sungura23

    Kupata ufadhili wa wazo la biashara

    Ili ufanikishe wazo lako kuna mambo ambayo ni ya msingi inabidi uyazingatie (hasa unapohitaji lipatiwe ufadhili). 1. Je wazo lako linawezekana kutokea (Is the idea feasible?) 2. Wazo lako linaweza kuleta mabadiliko/matokeo? 3. Wazo lako linaweza kudumu ? Linaweza kufanya kazi kwa muda mrefu na...
  14. sungura23

    TCRA muwe makini mtashtakiwa na YOUTUBE

    Hii issue ya kutoza kodi maudhui mtandaoni kiukweli sijawahi kuielewa. Tanzania bado tuna tatizo la "community awareness", mambo mengi yanafikia hatua ya kuwa sheria lakini majority ya wananchi hawana uelewa wa kutosha. It sad
  15. sungura23

    Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    Mkuu hiyo bei kama imekomaa sana hivi
Back
Top Bottom