TCRA muwe makini mtashtakiwa na YOUTUBE

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Kitendo cha kuweka kodi kwenye kitu ambacho sio chako kitakuja kuwagharimu TCRA.

YOUTUBE sio mali ya serikali ya Tanzania nyie mnaanzaje kutoza kodi? Huo ni wizi kama wizi mwingine tu.

Wao YOUTUBE wanajua wanapataje faida au hasara hivyo wameamua kutoa huduma ya bure dunia nzima, wao wanategemea ads tu nadhani kupata faida sasa nyie mnaanzaje kuchaji hela?

Mimi nataka nianzishe chanel ya youtube nielimishe watu kuhusu ufugaji ila mnataka mnichaji kodi ila msanii anayeimba singeli na baikoko mnasema mtamsamehe kodi 😂
 
Hii issue ya kutoza kodi maudhui mtandaoni kiukweli sijawahi kuielewa. Tanzania bado tuna tatizo la "community awareness", mambo mengi yanafikia hatua ya kuwa sheria lakini majority ya wananchi hawana uelewa wa kutosha. It sad
 
Ina maana nikianzisha tuisheni online natozwa kodi?

Au nikianzisha masomo ya dini nayo natozwa kodi

Nikianzisha mada za kuhusu mahusiano natozwa kodi?
 
Washauri wa Serikali sijui wanafikiria nini hasa, hata ukifuatilia kesi nyingi mno za Serikali huwa Serikali inaingia matatani.
 
Hii issue ya kutoza kodi maudhui mtandaoni kiukweli sijawahi kuielewa. Tanzania bado tuna tatizo la "community awareness", mambo mengi yanafikia hatua ya kuwa sheria lakini majority ya wananchi hawana uelewa wa kutosha. It sad
Well said!
 
Ina maana nikianzisha tuisheni online natozwa kodi?

Au nikianzisha masomo ya dini nayo natozwa kodi

Nikianzisha mada za kuhusu mahusiano natozwa kodi?
Joyce Kiria alinyea debe siku 3 kisa haya haya mambo ya youtube. TCRA wajitathmini.

Wanataka wote tuangalie TBC.
 
Back
Top Bottom