Habarini wana jamvi, nilikua nauliza je magonjwa ya kisonono na kaswende na magonjwa mengine ya zinaa yanaweza kuambukizwa kwa kushea choo na bafu? Mana nina mschana wangu msaidizi wa kazi za nyumbani amepima na kukutwa ana moja ya ugonjwa wa zinaa kinachonitisha ni kuwa yeye anashea choo na...
HATUJAWAH KUWAJOPA KWANI WKT TUNAOANA MIMI NA YEYE TULIKUA WAAJIRIWA NA TULIPANGA JINS YA KUTUMIA HELA NA AKIBA TULIIDUDULIZA MPAKA TUKAWEZA KUFUNGUA BIASHARA NA KUJENGA, ninavyoelewa jambo jingine lililowaudhi mawifi ni WALIKUA WANANILAZIMISHA NIACHE KAZI NA NIMUACHE MUME WANGU MJINI NIKAKAKAE...
MIMI NI MPARE, ila nilizaliwa na kulelewa mjini huku kwa wachaga na kwa bahati mbaya makuzi mengi nililelewa na mama baada ya baba kufariki, nimesoma hadi form 6.
mwanzo niliumia sn nilitaka kuondoka lkn nikamwangalia mwanangu nikaangalia na haliyng nikajua nitakapojaribu kuondoka nitapoteza haki zt za wanangu ambapo nilipata shida sn kuzitafuta
Nimeolewa na nina mtoto 1 wa 5yrs, mwanzo wa ndoa yetu tulikuwa na maisha ya chini ndugu wa mume waliniheshimu nami niliwaheshimu, MUNGU akatujalia rizki tukajenga na tukafungua biashara, mawifi (Wamachame)wote wameolewa na wanamaisha mazuri wakaanza tabia ya kuja kwangu ghafla kwa wakati...
mwanzo mume wangu alikua na msimama lkn mama yake akaanza kumlalamikia kuwa alimzaa na kumlea kwa shida sana na baba yake alimtelekeza akahangaika kumlea mwenyewe na anamtoto wakiume 1 tu (mumewangu)alitegemea akioa mkwewe(mimi) nitaenda kukaa naye, mwanae akaanza kubadilika na kuanza...
SWALA LA KUENDA KIJIJI NILILIKATAA MAPEMA KABISA NA MUME ALINIUNGA MKONO lkn jins siku zinavyoenda mbele mume anabadilika ktkn na maneno anayoambiwa na mama yk na dada zake!
ASANTE KWA USHAURI kweli nilishakaa na mama nikamweleza kuwa sitaweza kuacha kazi nikakaenaye kijiji si tuu kutokana na ugumu wa maisha bali pia kuishi mbali na mume kutachangia uwezekano wa kuleteana ukimwi, mama hanielewi ndo kwanza kila siku akaanza kulalamika anaumwa leo kichwa,kesho tumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.