Wimbo mzuri sana huu na unanifariji sana hasa baada ya kazi

Neema ubarikiwe sana na mungu muumbaji wa mbingu na nchi. Usiku mwema sister.
 
Kwaya hii ya mabalozi wa Yesu "Ambassadors of Christ Choir" pia wana hii dvd yao yenye jina 'YATUPASA KUSHUKURU ni nzuri japo baadhi ya nyimbo ni za kuwakumbuka wale wenzao mfano "Kwa nini?" zinasikitisha sana

kwa uliyemzimia aliyeimba 'Kwetu pazuri' kuna mwingine bomba zaidi-kidogo wafanane
 
Nitapataje hiyo YATUPASA KUSHUKURU?
 
Wanajf;
nawatakieni weekend njema na mungu wetu muumbaji wa mbingu na nchi awabariki.
Rdi.
 
Kwaya hii ya mabalozi wa Yesu "Ambassadors of Christ Choir" pia wana hii dvd yao yenye jina 'YATUPASA KUSHUKURU ni nzuri japo baadhi ya nyimbo ni za kuwakumbuka wale wenzao mfano "Kwa nini?" zinasikitisha sana kwa uliyemzimia aliyeimba 'Kwetu pazuri' kuna mwingine bomba zaidi-kidogo wafanane
MI NI MUISLAM LAKINI NAUPENDA SANA HUU WIMBO WA KWETU PAZURI, sijui ni kutokana na manyanyaso ninayoyapata huku ukweni?
 
Back
Top Bottom