SUNGURA MPOLE
Member
- Dec 5, 2011
- 19
- 3
Habarini wana jamvi, nilikua nauliza je magonjwa ya kisonono na kaswende na magonjwa mengine ya zinaa yanaweza kuambukizwa kwa kushea choo na bafu? Mana nina mschana wangu msaidizi wa kazi za nyumbani amepima na kukutwa ana moja ya ugonjwa wa zinaa kinachonitisha ni kuwa yeye anashea choo na mwanangu wakike 9yrs, naombeni msaada wenu.