Recent content by Sultan Kipingo

  1. Sultan Kipingo

    Tamisemi hamisheni taarifa za mishahara ya walimu waliopata uhamisho mwaka Jana mwezi wa kumi wanakwama kuingia katika mfumo wa PEPMIS

    Kumbe wahanga wengi, Ndugu yangu ana mwaka sasa na taarifa zake hazijahama hadi leo. Alihama kutoka Muleba DC kwenda mkoa mwingine. Akiuliza kwa utumishi wa kituo chake kipya anaambiwa aulize alikotoka. Kule alikotoka anaambiwa taarifa zimeshatumwa Tamisemi. Tatizo linakuja huku alipo sasa kila...
  2. Sultan Kipingo

    Maajabu: Kuna miji Dsm bado kufikiwa na umeme

    Huko mbali, hapo Manispaa ya Ilala maeneo ya chanika Jimbo la Naibu waziri Tamisemi kuna maeneo hadi yana zahanati lakini hakuna umeme.
  3. Sultan Kipingo

    Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

    Kwani wameshinda ngapi? Au ndo kama kawaida yao Droo kwao ni ushindi? Simba buana mmmshhiew
  4. Sultan Kipingo

    Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    Unatoa risiti Mkuu?
  5. Sultan Kipingo

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Salaam waungwana, Nmeona changamoto ya kupata matibabu wanayopata watu wa eneo fulani nje kidogo ya jiji (Dar es salaam) kwani zahanati ipo mbali kidogo nikafanya kautafiti na kuona kama nitatoa huduma ya kuuza dawa muhimu ktk eneo hilo nitawasaidia wananchi hao kutokana na adha ya kupata dawa...
  6. Sultan Kipingo

    Masheikh wako wapi? Nchi inapotea

    MTOA MADA nenda Magerezani kafanye Sensa ya Masheikh Vs Maaskofu/wachungaji pia uulize kwann wako huko THEN njoo tena Upost Huu UTUMBO wako.
  7. Sultan Kipingo

    Papa Francis ataka sala ya Baba Yetu ifanyiwe marekebisho

    Hizi dini nyingne hz zimejaa vituko. Ina maana hyo sala ni ya kutunga? Hadi ifanyiwe editing? Maana kama ingekuwa inatoka kwa muumba sidhan kama kungeongelewa hyo kitu.
  8. Sultan Kipingo

    Halmashauri ya Muleba wapeni walimu wapya hela zao za kujikimu

    Wanatafuta namna ya kutafuna hzo hela sio bure
  9. Sultan Kipingo

    Halmashauri ya Muleba wapeni walimu wapya hela zao za kujikimu

    Hivi ni kwanini kuna utaratibu tofauti kati ya halmashauri moja na nyingne katk utoaji wa hela za kujikimu kwa watumishi (waalimu wa sayansi) walioajiriwa Mwaka huu? Kuna ambao walipewa hzo pesa mara tu baada ya kuripoti kazini yaani mshahara wao wa kwanza na pesa zao za kujikimu zikajazwa...
  10. Sultan Kipingo

    Zitto Kabwe awataka watanzania kukutana ubalozi wa Libya kupinga biashara ya utumwa

    Sio kweli, mikoa ya waoga haina mameya wala wabunge wa upinzani. Fuatilia. Kokote kunakoongozwa na upinzan hakuna uoga mathalan Dar, Mbeya, Arusha nk
Back
Top Bottom