king suleman
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 1,749
- 1,151
Usitake Wafate Mkumbo,
walishaongea sana mkawachochea na mkawaita magaidi kwa sasa wako jela, zamu ya wazee wa upako waongee na wao tuangalie kama wataenda segerea wasipopelekwa na dalili zinaonesha ni untouchable na hawapelekwi basi tutajua cha kufanya hii nchi ni yetu sote usitupangie.Mkuu,lazima watokee watu wakujitolea muhanga,Nchi yenye raia wenye nidhamu ya woga,haiwezi kuendelea hata siku moja,maedeleo yanakuja kutokana na uhuru wa kujiamulia,uhuru wa kufikiri,uhuru wa kuchangia
Wewe ambae sio muoga endelea kukosoa waache mashaikh wetu wapumzike. Tafuta glisi nyingine. Sisi tuna akili nyingi kuliko unavyodhani tunajua nani anafanya vizuri na nani anafanya hovyo akosolewe na kwa muda gani so usitupangie. Mambo ya kukosoa kamwambie Lissu.Masheikh wanayakumba mengi kwasababu waumini,au wafuasi wako kama wewe waoga,uoga ni adui wa maendelo,kumbuka unazaliwa,unaishi,unakufa
Wakati wa kuishi ndio wakati wa kuamua unataka kuishi vp,kama utaishi kutokana na matakwa ya mtu fulani basi ujue huko sawa,waislam wanaishi kwa kufuata matakwa ya watu fulani,na ndio maana hawawezi kufanikiwa hapa Tanzania katika kuishi kama waislam wanavyotakiwa kuishi...
Kosa la uchochezi lina dhamana ila sina uhakika na la Ugaidi.🙁🙁😉Bora waseme maaskofu,mashekhe wataitwa magaidi
Wewe ambae sio muoga endelea kukosoa waache mashaikh wetu wapumzike. Tafuta glisi nyingine. Sisi tuna akili nyingi kuliko unavyodhani tunajua nani anafanya vizuri na nani anafanya hovyo akosolewe na kwa muda gani so usitupangie. Mambo ya kukosoa kamwambie Lissu.
Kweli mkuu,lakini kam waislam wamesimama kijasiri kuwatetea wenzao walioko jela naamini serikali ingeligeuza msimamo wake,msimamo wa kuaona watanzania wenye imani ya kiislam ni magaidi,ijapokuwa wao ndio walioleta uhuru wa nchi hiiMasheikh wanaogopa, kila wakiwaangalia wenzao wanaoozea magerezani hasa Hawa bakwata wao kila kitu wako upande WA serikali
Acha uoga maamuma....Muhammad hajafundisha uogaMakafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
Daaah...Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
