Mwaka 2011 Wachina walitamba sana waliporusha satelite yao ijulikanayo kama Tiangong-1 kwenda angani.
Satelite hiyo ilishindwa kukaa kwenye trajectory yake na hivyo kupungua speed kadri siku zilivyokuwa zinaenda na hivyo kuifanya kupoteza mwelekeo katika trajectory yake.
Sasa satelite hiyo iliyobuma miaka kadhaa na kuwafanya wachina washindwe kuinasa kwenye vyombo vyao vya mawasiliano imebuma kabisa kabisa na iko mbioni kurudi Duniani na inategemewa kuungua vipande vipande wakati inapoingia kwenye tabaka la hewa la Dunia. Vipande vitakavyobakia vinatarajiwa kuishia kwenye moyo wa bahari...
NB: Wachina, hii teknolojia ya Mzungu hamuiwezi. Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba.
View attachment 731568