najua wengi hatumfaham huyu jamaa anayejulikana kama soudybrown muasisi na anayeendesha kipind cha shilawadu kinachorushwa n la ijumaa kuanzia saa 3 usiku na clouds tv...
wengi wetu hatumfahamu kutokana na tabia yake ya kuvaa mzura mda wote....mjue sasa
kwamaana hii tutegemee kuona watumishi wakihenyeshwa mahakaman kwa matumiz ya madaraka kinyume na sheria na haki kutendeka maana hata majaji sasa watakuwa makini kama raisi wao tundulisu na kuja kusema kweli pale penye ukweli na kusema si kweli pale pasipo na ukweli....kwamaana kama...
unajua bashite na sizonje ni watu wa ishu ndo hzo znazowapa shda hao gsm na nas haulage na hao matajie wengne mana inapotokea wakaombwa pesa au hata msaada mkubwa nao wakazngua ndo hvyo wanabambikiwa kesi zisizo na kichwa wala miguu....bt manji aliombwa msaada akazngua ndo wanamtaftia zengwe had...
taarifa zilizonifikia hivi punda kutoka nchi jirani ya uganda ni kwamba aliyekuwa I.g.p msaidizi bwana andrew kawesa ambaye alikuwa na tuhuma za kuwatesa wapinzani nchini humo hasa dr kiiza amepigwa risasi na mlinzi wake kisha kutelekezwa garini huku mlinzi huyo akidaiwa kutokomea kusikojulikana
Inamaan woote mnaotaka makonda aachwe kwa kufoj vyet kisa anatenda Kazan hasa za kujiuzsha kwenye tv na insta,hamjui km kufoj vyet ni kosa...angekua kafanya hvo mtu km mm mngesema niachwe?mbona wale waliotimuliwa makazin mlifurahia???kumbe mko wajinga kiasi hiki...mmelishwa nn na naamn wote...
Jaman acheni kupga kelele...barca. bado ana wakat mgum na hata tim zngne maana mchezo wa barca wa slow motion had wafke kwenye box ndo washoot tambua kuna bayern wazee wa mchaka mchaka ahainaga kuremba...lakn pia kuna real madrid wazee wa plan B country er attack so ndo kwanzaa waelekea...
Yeyote mwenye gari aina tajwa hapo juu nahitaj kuinunua so kama unayo au mtu wa karibu na ww anayo basi njoo tufanye biashara...bei na picha yake ubaon kwanza
Ideology ya magu ni monopartism ndo itakuza uchumi ila hata hyo ideology ynywe anashndwa nn afanye ili kuifikia maana kuna katiba na sheria zinambana ...ye alikua anajua urais ni kama baba na watt wake anaamua tu leo vaen bukta,wanavaa,leo jazaneni mimba,wanajazana hahahaha....saiz kapanic tayar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.