UGANDA: Msemaji wa Jeshi la Polisi auawa kwa risasi pamoja na walinzi wake wote

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787

index.jpeg

Watu watatu wameuawa nchini Uganda akiwemo msemaji wa jeshi la polisi nchini humo Bwn. Andrew Felix Kaweesi.

Kaweesi ameuawa mita 100 kutoka nyumbani kwake Kulambiro mjini Kampala na kifo chake kimethibitishwa na msemaji wa ikulu Linda Nabusanyi.

=================

Three people including Police Spokesperson Andrew Felix Kaweesi have been shot dead.
17352329_1152367698207536_4007710279048511259_n.jpg

Kaweesi and two other police officers were shot dead about 100 metres from his home in Kulambiro, Nakawa Division in Kampala.

Presidential Press Secretary Ms Linda Nabusayi confirmed the incident to our reporter.

"It is true and it's so sad," Ms Nabusayi said when asked to confirm whether Mr Kaweesi was one of the three police officers killed in the Friday morning shooting.

It's not yet clear how Kaweesi was killed but the Inspector General of Police Kale Kayihura and other senior security officers have rushed to the scene to ascertain what could have happened.

Kaweesi who also held the position of director human resource was in August 2016 appointed by IGP Kayihura the special police spokesman as the Force attempted to repair its image tainted by a string of brutality incidents and public relations nightmares.

Mr Kaweesi, whom Gen Kayihura had earlier removed from the Kampala Metropolitan Police command and later from the Directorate of Operations for being “in the media too often”, had been tasked to reclaim the Force’s lost public trust.

Kayihura is expected to address the media about the incident.



Source: monitor.co.ug
 
Gari ya Msemaji wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo, Felix Kaweesi yashambuliwa kwa risasi asubuhi hii ikiwa inatoka nyumbani kwake.

Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuna majeruhi lakini bado haijafahamika kama Msemaji huyo wa Polisi alikuwa ndani ya gari hiyo.

Nyumba ya Msemaji huyo wa Polisi iko eneo la linaloitwa Kulambiro huko jijini Kampala.
=======

...UPDATES...

Msemaji wa Jeshi la Polisi la Felix Kaweesi ameuawa leo kwa kushambuliwa kwa risasi akiwa ndani ya gari akitoka nyumbani kwake.

Katika tukio hilo pia walinzi wake wote wameuawa.
 
Gari ya Msemaji wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo, Felix Kaweesi yashambuliwa kwa risasi asubuhi hii ikiwa inatoka nyumbani kwake.

Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuna majeruhi lakini bado haijafahamika kama Msemaji huyo wa Polisi alikuwa ndani ya gari hiyo.

Nyumba ya Msemaji huyo wa Polisi iko eneo la linaloitwa Kulambiro huko jijini Kampala.
=======

...UPDATES...

Msemaji wa Jeshi la Polisi la Felix Kaweesi ameuawa leo kwa kushambuliwa kwa risasi akiwa ndani ya gari akitoka nyumbani kwake.

Katika tukio hilo pia walinzi wake wote wameuawa.
Watu huchoka na uonevu
 
Habari za hivi punde zinadai msemaji wa jeshi la polisi aliyeteuliwa hivi karibuni bw. Fredrick Auwesi ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikama.
Msemaji huyo alimiminiwa risasi akiwa ndani ya gari pamoja na wasaidizi wake wawili ambao pia wameuawa.Alikuwa njiani kwenda kuwahutubia wanafunzi wa Kampala Christian University ambao tayari walishakusanyika kumsubiri.
 
Taarifa zinasema Bw Kaweesi ameuawa baada ya gari lake kumiminiwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa anaondoka kwake nyumbani Kulambiro, Kisaasi kaskazini mashariki mwa mji mkuu Kampala.
Walinzi wake wawili walioandamana naye pia wameuawa.
Bw Kaweesi aliteuliwa kuwa msemaji wa polisi Agosti mwaka jana.
Taarifa zinasema alikuwa njiani kwenda kuwahutubia wanafunzi katika chuo kikuu cha Uganda Christian University alipokumbana na mauti yake. Wanafunzi walikuwa tayari wamekusanyika ukumbini katika chuo hicho.
Miili ya watatu hao imepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Mulago.

Bbc
 
taarifa zilizonifikia hivi punda kutoka nchi jirani ya uganda ni kwamba aliyekuwa I.g.p msaidizi bwana andrew kawesa ambaye alikuwa na tuhuma za kuwatesa wapinzani nchini humo hasa dr kiiza amepigwa risasi na mlinzi wake kisha kutelekezwa garini huku mlinzi huyo akidaiwa kutokomea kusikojulikana
41cf730851355fc5d4d6d2f7e81c557e.jpg
 
Back
Top Bottom