Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Bahati nzuri ni kwamba hakuna jipya Dunia hii na mambo hujirudia Dunia nzima, binadamu hutumia mbinu zile zile kwa mategemeo ya matokeo yale yale, Muheshimiwa Raisi Magufuli Mabwanyenye wamekutangazia Vita rasmi, uchaguzi wa Kiongozi wa Upinzani kuwa Mkuu wa TLS siyo bahati mbaya, kukaidi kwa Tundu Lisu kufika Mahakamani huku akijua angeamatwa siyo bahati ilipangwa!
Mabwanyenye wameamua kupambana na wewe angalia timu iliyo nyuma ya tls ni law firms kubwa hapa TZ chini ya akina Sanare, IMMA ambayo ilimuajili l. Masha ambaye alijitoa dakika za mwisho kama mbinu tu ili kumsafishia njia Tundu pia kuna mtoto wa Karume humo ambaye htumiwa sana kutoa matamko!
Hizi law firms ndizo zilizoifilisi hii nchi madeni tunayolipa ya Mabilioni tunawalipa hawa Mabwanyenye hata Ridhwani Kikwete keshafanya nao kazi, hivyo Raisi kaa chini na watu wako utafakari sana wamepania kukuangusha, fikiria publicity ambayo huu uchaguzi umepata haijawahi kutokea na huwezi kufanikisha bila ya kuwa na pesa nyingi hivyo kuwa mwangalifu sana muheshimiwa Raisi historia hujirudia Dunia nzima, hata wanaongea Kiingereza kwenye Vikao vyao ina maana sisi siyo wenzao hii ni tabia ya Mabwanyenye Dunia nzima!
Hivyo hii siyo vita ndogo Muheshimiwa Raisi tumia vyombo vyetu vya Dola pmj na uwenyekiti wako wa Chama kupambana na hawa watu, usiwachekee, narudia wamekutangazia vita!
Kila la Heri Muheshimiwa Raisi najua tutayashinda Mabwanyenye tumetoka mbali!