sulle my nem
Member
- Feb 3, 2017
- 44
- 35
Yeyote mwenye gari aina tajwa hapo juu nahitaj kuinunua so kama unayo au mtu wa karibu na ww anayo basi njoo tufanye biashara...bei na picha yake ubaon kwanza
Yeyote mwenye gari aina tajwa hapo juu nahitaj kuinunua so kama unayo au mtu wa karibu na ww anayo basi njoo tufanye biashara...bei na picha yake ubaon kwanza
Mkuu hiyo gari inatumia mafuta kama jini. ...kama una gari mbadala bora ufanye hivyo. ..labda kama uko na ukwasi wa kuelewekaYeyote mwenye gari aina tajwa hapo juu nahitaj kuinunua so kama unayo au mtu wa karibu na ww anayo basi njoo tufanye biashara...bei na picha yake ubaon kwanza
Wee kama unafikiriaa wese ni wewe tu....mwache mwenzako atumie chombo anacho kimudu....unataka atumie passo piston 3 auMkuu hiyo gari inatumia mafuta kama jini. ...kama una gari mbadala bora ufanye hivyo. ..labda kama uko na ukwasi wa kueleweka
Mln 14....iko sinza darYeyote mwenye gari aina tajwa hapo juu nahitaj kuinunua so kama unayo au mtu wa karibu na ww anayo basi njoo tufanye biashara...bei na picha yake ubaon kwanza
Vibaka ni watu wabaya sana.Hii hapa ya kurekebisha kidogo tu