Recent content by sulfametopyrazine

  1. sulfametopyrazine

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    kiwanja kinauzwa cha ukubwa wa 1734 sqm kipo chanika (ukipanda basi la chanika unashuka kituo kinaitwa Kwa Sadala) kina hati ya umiliki na hakina mgogoro, kiko 300m au pungufu kutoka barabara kuu. Bei ni 30m ila maelewano yapo (ni cha kwangu mwenyewe sio udalali) piga 0754-865092. Asanteni muwe...
  2. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada wa ku.track simu kwa IMEI

    nitalifanyia kazi
  3. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada wa ku.track simu kwa IMEI

    dsm
  4. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada wa ku.track simu kwa IMEI

    nilikuwa na kasimu kangu nmekupata juzi tu. sasa cha kushangaza kuna wale wahuni wa bodaboda wakanikwapua. simu yenywe ni iphone7 plus, nmejaribu kutumia find my iphone bila mafanikio maana sio accurate kiivo kwa TZ yetu hii na bado sijaiweka kwny lost mode. Sasa km kuna mtu mwnye utaalamu wa...
  5. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chief Mkwawa njoo hapa.

    Heheh 256mb???
  6. sulfametopyrazine

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Mkuu natafuta lgG2...naweza pata..ss wengne budget ndg hatuziwez hzo ulizoweka juu...
  7. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini samsung waweke snapdragon 823 kwenye mashine yao mpya-Samsung galaxy note 6?

    I think exynos 8890 ndo nzur zaid..maana ina lightning speed... Wakiweka snapdragon wasahau kushindana na Apple's A9 or whatever is coming
  8. sulfametopyrazine

    JamiiForums Tanzania Funniest movie quotes ever!

    "You son of a bitch better get down on your knees and pray to god that I don't find you cause if I do, Mark my words I'll cut you from bones to stew. ; - prison break
  9. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    XIII part 1 na 2... Ni balaa
  10. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Unapata nguvu ya kuandika post km hii jf..
  11. sulfametopyrazine

    JamiiForums Tanzania TRA na ushuru wa kuingiza gari

    Wana calculator lao hilo ni hatar.. Unaingiza sijui mwaka, CC, model hio bei inayotoka hapo..utajuta!!! Bora mie na baskeli yang
  12. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutega spy app

    We kiboko
  13. sulfametopyrazine

    JamiiForums Tanzania Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    Mbona ni obvious Jana walisema BBC kwamba Leo mh. Magufuli atakuwa in air hata mm nmeshangaa kuona hajahojiwa
  14. sulfametopyrazine

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya baa za kibongo

    NY*ge bar... Mabwepande hio
  15. sulfametopyrazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuachaneni na Siasa Kidogo. Wana JF Naombeni Ushauri...

    Aliyeisoma bac anielezee..
Back
Top Bottom