Risiti ya TRA nikinunua nitapata?Safi
Risiti ya TRA nikinunua nitapata?Safi
Ahsante mkuu, nitaku trace nikiwa tayari anytime soon.Thanks mkuu kwa ushauri, huwa mara nying mzigo wng nanunua kwa kulenga south Africa, so huwa na target simu Kali na kubwaa za kisasa ambazo nitabeba mzigo kidogo ila wenye thamani...so inakuwa rahis, ila ushauri wako nitaufanyia kazi kaka, lakin vile vile km unahitaji cm ya bei ndogo kiasi naweza kukusaidia kuipata pia kwa bei nzuri, sababu nina connection kariakoo hapa
Kwa hela hiyo, unapata cm mpyaa Na accessories, km Samsung galaxy S4, Samsung J5, Samsung A3, Samsung Note 2, etc, ila kwa brand nyingne unapata cm Kali tu pia km HTC one M7, Huawei P8, Sony Xperia Z1, nichek kwenye 0654776976 itakuwa rahisMkuu napata simu gani ya kuanzia 350k mpaka 400k kama unazo dukani au maeneo hayo. Ukipata Samasung ni bora zaid
Laptop mkuu tupe spechs na bei tuanze biashara750k
Next week ndio nategemea kuwa Na iPads pamoja Na Ipad Air, kwasasa nina tablets tu, ila ipo moja imebak Ipad Air2 min 16GB,WiFi only. Bei huwa nauza kulingana uwezo wa bidhaa na ubora, mfano hiyo min iliyobak nauza 550k tu,Mkuu ntapata iPad Air 2? Na bei imekaaje?
Poa Mkuu...kwa kifupi tu simu zang zote sio Mchina wala copy, ni original na bora hata kuliko nying mnazouziwa madukani kwa wahind, hizi nilizonazo nying ni LTE, na pia zinatoka UK na South Africa, ila njia ya upataji na usafirishaji bila changamoto nyingi ndo hunifanya niziuuze bei rahis, Na pia huwa siuzii tamaa saana sabab nina mtaji kidogo nahitaji biashara izunguke faster...wapo watu wengi walionunua Cm kwangu wanaweza kushuhudia ubora wa simu zangu...kwa atakayehitaji nitampa contacts zao.Mkuu ujue mtu anapokuta kitu cha 1.2mil kwa 950k anapata hofu na ndo nafikiri ikawa sababu ya jamaa kuita mchina.
Samahan waweza kuwaondoa shaka na hofu watu wa dizain hiyo mkuu?
ok,thank you.Risiti ya TRA ukija dukani unapata mkuu, ila c unajua makato ya TRA naongeza kwenye price nayokuuzia [emoji6] , so wewe tu boss!!
Well said akhsantePoa Mkuu...kwa kifupi tu simu zang zote sio Mchina wala copy, ni original na bora hata kuliko nying mnazouziwa madukani kwa wahind, hizi nilizonazo nying ni LTE, na pia zinatoka UK na South Africa, ila njia ya upataji na usafirishaji bila changamoto nyingi ndo hunifanya niziuuze bei rahis, Na pia huwa siuzii tamaa saana sabab nina mtaji kidogo nahitaji biashara izunguke faster...wapo watu wengi walionunua Cm kwangu wanaweza kushuhudia ubora wa simu zangu...kwa atakayehitaji nitampa contacts zao.
Pole mkuuEnzi za ushamba wangu kuna muuzaji flani wa simu kkoo aliniingiza mjini akaniuzia Samsung kimeo nikatoa hela ndefu dah!! Ndo nikasemaga kuna wabongo wengine hawako serious na biashara false advertising mno akati huduma ni duni kabisa!
Pole mkuuEnzi za ushamba wangu kuna muuzaji flani wa simu kkoo aliniingiza mjini akaniuzia Samsung kimeo nikatoa hela ndefu dah!! Ndo nikasemaga kuna wabongo wengine hawako serious na biashara false advertising mno akati huduma ni duni kabisa!
Hahaha nashkuru.. iyo ilikua 2013 nishajifunza.. Sku izi inabidi mtu usisitizie 'Genuine Warranty' especially unaponunua kitu cha thamani ambacho kinaweza kukuzingua mda wowote..Pole mkuu
Ndo kujifunza lakiniHahaha nashkuru.. iyo ilikua 2013 nishajifunza.. Sku izi inabidi mtu usisitizie 'Genuine Warranty' especially unaponunua kitu cha thamani ambacho kinaweza kukuzingua mda wowote..