Ni kawaida wanyakyusa kwenye mahari wanapenda sana msumbuane. Ila ni watu wanaopenda sana undugu na ukarimu ila wanawake wao wanapenda ubabe na ujuaji.
Wakishajua kuuza nguniani na maparachichi sokoni wanakua hawaheshimu tena wanaume na wengi wao wanalea familia bila wanaume. Pia ukioa...
Dah, huyu "jamaa" naona kaamua kujipigia "assist" ili kujiondolea " gundu".
Halafu "dume" kuwa na id mbili za jinsia tofauti ni kujipandikiza "vimelea" vya ugashoo
Habari za muda huu wanajukwaa, poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.
Ni takribani miezi miwili sasa tangu nipatwe na msiba wa mzee wangu kipenzi, lakini siku chache kabla ya kifo chake nilizungumza nae mambo "confidential" kwa simu yangu binafsi, ila kwa bahati mbaya, stress za msiba na...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mtaalamu wa fani ya sayansi na teknolojia ya usindikaji wa chakula (BSc. Food science and technology) kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (graduate). Natoa huduma yaelimu na ushauri kuhusu usindikaji wa aina zote za vyakula, kuwasaidia wafanyabiashara na...
kikosi cha timu ya taifa ya saudia arabia kombe la dunia. Out of 11 starting players watano ni weusi, bado waliopo benchi. Hii inaonyesha kuwa watu weusi bado wana nafasi katika arabia.
Pia nimewahi kusikia kuwa ukienda yemen au oman unaweza dhani upo zanzibar, weusi wamejaa kila mahala.
Mwaka huu nimefanikiwa kutunikiwa shahada yangu ya kwanza ya food science and technology. Namshukuru sana Mwenyezi mungu kwa hilo na natamani sana kuendelea na elimu ya juu zaidi.
Nadhani hoja kuu ipo katika kusitiri aibu maiti. Kifo kina mambo mengi, wengine wakifariki huwa wanavimba tumbo au uso, wengine hupinda midomo au vyovyote vile Kwa hiyo ni vizuri aibu ya maiti ikabaki kwa ndugu na familia tu na sio kila mtu aione ikisha akatangaze aibu hizo kwa watu wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.