Recent content by Styles

  1. Styles

    JamiiForums Tanzania Flat screen ilioharibika kioo(kupasuka) inaweza kutengenezwa?

    Ndio inawezekana.. sio lazima upate kioo kipya unaweza nunua hata used jaribu kuongea na mafundi!
  2. Styles

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yako unayo mwenyewe

    Shukrani kwa maneno mazuri na yenye kutia moyo. 💪💪
  3. Styles

    JamiiForums Tanzania Nimeajiriwa ofisi kubwa tu tatizo lack of confidence, ni bora ukose kila kitu, sio kujiamini

    Kutojiamini ni tatizo la wengi sio peke yako mkuu!!
  4. Styles

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya kujiamini bila hata kutumia kilevi?

    ushauri mzuri!!
  5. Styles

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Uzi bomba Sana. Endeleeni kushusha nondo wakuu!!
  6. Styles

    JamiiForums Tanzania Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

    😀😀,hiyo ndo dawa yao,
  7. Styles

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Pole sana,lakini wew ndo mwenye makosa kumuamini huyo jamaa.!
  8. Styles

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Usiku mwema.!
  9. Styles

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nipeni "likes" zangu.!
  10. Styles

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna bora ya kuzikabili changamoto za majirani

    achana nao Wala wasikuuze kichwa,Kama ni kununa acha wanune wewe endelea na mambo yako huwezi furahisha Kila mtu.!
  11. Styles

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna bora ya kuzikabili changamoto za majirani

    Fanya unachoona ni sahihi kwako !
  12. Styles

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    inamaana wachangiaji wote ni ma-introverts?
  13. Styles

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya bata

    Duh.kumbe Kuna mengi sana tusioyajua kuhusu bata!
Back
Top Bottom