Hatma ya maisha yako unayo mwenyewe

Aug 18, 2019
79
150
Twende pamoja na Mimi

Je, ulishawahi kujiuliza kuwa kwanini kila mtoto mdogo anayezaliwa anakuwa amekunja ngumi? Hii ni kwasasabu HATIMA yake anayo mwenyewe.

Katika kulitambua hili Kuna Mambo ya msingi ya kufahamu:

1. Unaweza kukutana na Mambo magumu sana sana na ya kukatisha tamaa anayeweza kukutoa hapo ni wewe kujitambua na kusimama imara na kumwomba Mungu na tofauti na hapo mama, baba, mpenzi, ndugu ama mtoto hawezi kukusimamia yule ni mwanadamu ni Kama maua yanakuwa na harufu nzuri Mara yananyauka na kukosa harufu nzuri ndivyo alivyowamadamu.

2. Katika mafanikio usijaribu kuwaza umri ama umepoteza muda gani pale unapogundua nafasi (opportunity) anza hapo hapo bila kuwa na wasiwasi songa mbele.

3. Tambua thamani iliyo ndani yako ambayo wakati unazaliwa uliishikilia.

Asante tunaendelea kesho tena. Ubarikiwe sana
 
Malchiah

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
357
1,000
True,umeongea vyema.

Duniani wote wanaweza kukuacha lakini wewe binafsi uwezi kujiacha,kwahiyo usiruhusu kujichukia hata kama mambo hayaendi vile upendavyo.

Mungu anaangalia sana nini unaamini ndio huweka nguvu hapo, Imani is everything binadamu anatakiwa kuishikilia imuongoze.

Hatma ya mtu ipo mikononi mwa mtu.
 
chief_

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
813
1,000
Watu mna ma file asee
Hata lako ukilitaka lipo mkuu
IMG_20210323_235525_886.jpg
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,177
2,000
Twende pamoja na Mimi

Je, ulishawahi kujiuliza kuwa kwanini kila mtoto mdogo anayezaliwa anakuwa amekunja ngumi? Hii ni kwasasabu HATIMA yake anayo mwenyewe.

Katika kulitambua hili Kuna Mambo ya msingi ya kufahamu:

1. Unaweza kukutana na Mambo magumu sana sana na ya kukatisha tamaa anayeweza kukutoa hapo ni wewe kujitambua na kusimama imara na kumwomba Mungu na tofauti na hapo mama, baba, mpenzi, ndugu ama mtoto hawezi kukusimamia yule ni mwanadamu ni Kama maua yanakuwa na harufu nzuri Mara yananyauka na kukosa harufu nzuri ndivyo alivyowamadamu.

2. Katika mafanikio usijaribu kuwaza umri ama umepoteza muda gani pale unapogundua nafasi (opportunity) anza hapo hapo .....bila kuwa na wasiwasi songa mbele.

3. Tambua thamani iliyo ndani yako ambayo wakati unazaliwa uliishikilia.

Asante tunaendelea kesho tena. Ubarikiwe sana
Naongezea vijamambo pia

Unapokuja dunia tambua umezaliwa na umekuja kwenye uwanja wa mapambano, hakuna pambano lisiokosa mpinzani au vikwazo ili kufikia goli, chagua vyema maamuzi yako, kataa mtu kukuambia huwezi, acha kuona aibu watu watakufikiria kwa kile unachotaka kufanya kwa kuwa dunia ni yako na atake kupa mafanikio ni wewe na sio watu kumbuka wote tunapita tu hapa duniani, usikwazike na maneno ya watu/umbea /masimango yasikuvunje moyo zaidi ukazane kuwa prove wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom