Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

Kama unachosema ni kweli njoo Pm nkupe nauli uende kufata hela yako Dom, km unachosema siyo kweli usije kwasababu hutoipata hyo hela.

Plan B, uwe makini na biashara za kukopeshana zinachangamoto sana.

Plan C, ukiona anakuzingua sana, nenda kwa wazee wa huko kwenu kashtaki ikiwezekana mroge tu hakuna namna. Maana umetafuta pesa kwa jasho mtu akudhurumu..siyo sawa na hapa duniani acha kujifanya mwema kwa kila mtu na kujifanya fair, dunia haiko hvyooo na walimwengu ni fisi.

Mkuu ninacho sema ni kweli pia kama umeamuwa ni support ni support hata kwa mawazo tu ila ukiona kunisupport na pesa pia nitashukru.maana unaweza ona kama nimekuja kuomba pesa kwa watu humu kwenye platform kubwa kama hii
 
Nenda haraka ukachukue pesa na sio mzigo.
Biashara huwezwa na mijitu jeuri, nrnda na sura ya kazi.
Madalali ni matapeli.. mlikunaliana aiju 3 na aio kukutunzia samaki.
Uaicheke na nyani na siku nyingine toa mzigo kwa maadishi

Noted thanks
 
Kama huna vibali na nyaraka za kuuziana inaonesha nako huna. Wewe utakuwa ni mzembe tu. Tunajifunza kutokana na uzembe ila kwa hili jiandae kisaikolojia maana asilimia kubwa ni kukosa. Jaribio la mwisho ni kwa mama yako. Likifeli huna pa kumpeleka maana huna nyaraka huo utakuwa ni uzembe wako. Kwa mtazamo tu naona ni hadithi ya kufikirika. Huwezi nunua mzigo kwa hela yote kwa mara ya kwanza kwa ubahili uliokuwa nao mpaka ukaweza kumake 1m. Hivyo hadithi yako ina mapungufu mengi na hivyo hujaweza kuitunga vizuri maana ina gap nyingi zisizounganika hata kidogo.

Huo ni mtazamo wako!!! Pia hata hadithi zinafundisha hata kama ni hadithi chukulia ni Hadithi yeye fundisho kwa wengine ila sio kwa wewe mtu makini.
 
Duh!!!...
Pole sana..

Katika biashara zote, ulianzaje kufata ya samaki? Huyo tapeli ulimkuta Dodoma? Ulimsainisha juu ya mauzo?

Usihudhunike hadi ukaogopa ya biashara.. umepitia funzo zuri kubwa mwanzoni. Mola atakuongeza tu.
 
Pole sana,lakini wew ndo mwenye makosa kumuamini huyo jamaa.!
 
Yaani una milioni 1 unawekeza laki 9 kwenye samaki tena unakopesha wote alafu unaondoka?? Hatari
 
Chikolombe ina onekana ww ni wa idodomya, mtafute mavunde mweleze kila kitu atakusaidia. Wahi haraka kipindi hiki cha kampeni
 
Kuna 1385 na kuna 1835 ipi ni namba sahihi.. Unajua nyinyi wananchi mnaojiita wanyonge kumbe kweli kichwani wanyonge unafanya biashara kabla ya kujumlisha cost zingine tayari unahasara.. Biashara gani hii unapata 250,bora huyo jamaa akutapeli ili ujifunze
 
Sema hili tukio limenikumbusha zamani sana enzi hizo najifanya eti hustler wakati nilikuwa katoto kadogo tu ambako ndo kwanza nimemaliza Form IV!!!

Hiyo siku nimepeleka mzigo, tena siku ya kwanza kama ilivyo kwa Likolombe... nikakutana na dalali ambae ni mlemavu wa miguu!!!

Jamaa alikuwa hawezi kusogea hata hatua moja bila kutumia magongo... labda asote!!

Basi bhana, nikamwachia mzigo! Huku na kule, siku ya kwanza, ya pili, ya tatu, dalali sound kibao! Alipoona mambo magumu, jamaa akala kona... akapotea kabisa sokoni!

Kila ninayemwuliza anakoishi, raia wanajifanya hawajui!!

Nilichofanya ni "kupotea" pale sokoni lakini kimsingi nilikuwa around nikimlia timing!! Sijui jamaa alikuwa anatuma wapambe waje kuangalia kama nipo au sipo, only God knows! Siku ya tatu, jamaa akatokea!!

From nowhere nikamwibukia, na kabla hajafahmu what's going on, nikayapora magongo yake na kumwambia hadi alipe pesa ndo namrudishia!!

Watu wa sokoni wajinga sana!!! Badala ya kumhurumia mwenzao, shangwe ambalo liliibuka pale halikuwa la nchi hii!!! Ungesema Tundu Lissu katangazwa rais!!!

Anyway, it's in those good old days!!

Chikolombe, hao wanaokuambia ulimwamini vp huyo jamaa inaonesha hawajawahi kuuza hata pipi ndo maana hawafahamu ulichokifanya ni kitu cha kawaida sana kwenye masoko yetu!

Sijui uliyemwachia ni mtu wa aina gani, manake kwa kawaida wanaochukua mizigo kwa staili hiyo ni madalali, ingawaje pia kunakuwa na wachuuzi ambao nao uchukua mizigo kwa mali kauli kwa kutarajia atakulipa akishauza!!

Ningeshauri rudi sokoni uangalie uhalisia lakini usimwambie kwamba unaenda! Kama ulimwachia dalali, kama mzigo hujauzika ina maana utaukuta umemdodea! Na ukikuta mazingira kama hayo, mwombe akutafutie bao fasta upige mwenyewe reja reja kabla hawajaharibika beyond selling quality!!

Usilete ujuaji wa kutaka lazima akulipe pesa yako wakati unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mtaji wako hauzami!!!

Kama ulimwavchia mchuuzi, ongea nae kama mzazi/bro ili msaidiane kuhakikisha mzigo unaisha!! Achana na simulizi za uchumi wa kati, hii nchi bado ni maskini sana!!! Huyo jamaa asipoweza kuuza huo mzigo kwa wakati basi uwezekano wa kukulipa utakuwa mdogo au utalipwa kwa mafungu kwa muda mrefu jambo ambalo ni threat kwa mtaji wako!!!

Kama mzigo bado mwingi, assuming Dom kuna masoko mengine, basi mwambie uchukue kidogo kidogo, kama vile debe moja kupeleka kwenye masoko mengine!

NARUDIA, usilete mambo ya kisomi wakati hata mkataba hamkuandikishiana... unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mzigo unauzika kwa haraka at that cost price ili kuulinda mtaji ili kuulinda mtaji!!

SHIRIKIANA na huyo mtu kuhakikisha mzigo unauzika!!!
 
Inaonesha hujawahi kufanya biashara wewe, na kama umewahi basi biashara ya duka!!! Hivi umeshawahi kusikia kitu kinaitwa "at cost price"?!

Pale bandarini kabla watu hawajafahamu vizuri maushuru ya pale, washauza sana magari at cost price!!

Biashara kama ya samaki kuuza at cost price ni kitu cha kawaida sana kwa sababu inafikia mahali unaona bora uokoe mtaji wako kabla haujazama moja kwa moja!!
 
Dah nimeona huruma sana.
Halafu we bhana ungekuwa wife wangu tungezaa maparoko watupu waliojazwa upako huko huko!!

Kilichoniumiza zaidi sio risk ya kutapeliwa bali ni kuona kijana mdogo aliyeamua kujinyima akiwa chuo ili asiadhirike akirudi mtaani, anatokea mshenzi mmoja anataka kumdhulumu haki haki!

Sie wengine ilikuwa tukipata boom hata stimu za kukaa darasani zinakatika lakini dogo yeye kaamua kujiwekea akiba!!!
 
Hao ndio maadui wa maendeleo, hakika umedhulumiwa, hakuna sababu ya kwenda huko , mwombee dua afe tu.

Mloge afie huko

Pole.
 
Ki accounts huyo uliyemkopesha tunamuita "Bad debt "...kwenye vitabu tuna treat kama expense ...yaani inapunguza gross profit..akija kukulipa tuta treat kama "Recoverable bad debt" tuta add na gross profit ...asipokulipa... tutamuweka kwenye "Provision for Doubtful debts" kwa asilimia zetu...na at the end of the year(tunapofunga books of accounts) tunaenda kumpunguza kwenye Debtors( Accounts Receivable) ...mchezo unakuwa umeisha ...hope umenielewa mkuu...
 
Kuna 1385 na kuna 1835 ipi ni namba sahihi.. Unajua nyinyi wananchi mnaojiita wanyonge kumbe kweli kichwani wanyonge unafanya biashara kabla ya kujumlisha cost zingine tayari unahasara.. Biashara gani hii unapata 250,bora huyo jamaa akutapeli ili ujifunze

Ni 1385 . Jumla samaki walikuwa 2000 laiti wangefika salama faida ingekuwepo mkuu!! Hata ni jumlishe cost zote hasara ingekuwepo kwa sababu hapo kuna samaki wamevunjika pia bei aliyo nunulia kila samaki 650 kwa bei ya jumla 1385*650=900250
 
Sema hili tukio limenikumbusha zamani sana enzi hizo najifanya eti hustler wakati nilikuwa katoto kadogo tu ambako ndo kwanza nimemaliza Form IV!!!

Hiyo siku nimepeleka mzigo, tena siku ya kwanza kama ilivyo kwa Likolombe... nikakutana na dalali ambae ni mlemavu wa miguu!!!

Jamaa alikuwa hawezi kusogea hata hatua moja bila kutumia magongo... labda asote!!

Basi bhana, nikamwachia mzigo! Huku na kule, siku ya kwanza, ya pili, ya tatu, dalali sound kibao! Alipoona mambo magumu, jamaa akala kona... akapotea kabisa sokoni!

Kila ninayemwuliza anakoishi, raia wanajifanya hawajui!!

Nilichofanya ni "kupotea" pale sokoni lakini kimsingi nilikuwa around nikimlia timing!! Sijui jamaa alikuwa anatuma wapambe waje kuangalia kama nipo au sipo, only God knows! Siku ya tatu, jamaa akatokea!!

From nowhere nikamwibukia, na kabla hajafahmu what's going on, nikayapora magongo yake na kumwambia hadi alipe pesa ndo namrudishia!!

Watu wa sokoni wajinga sana!!! Badala ya kumhurumia mwenzao, shangwe ambalo liliibuka pale halikuwa la nchi hii!!! Ungesema Tundu Lissu katangazwa rais!!!

Anyway, it's in those good old days!!

Chikolombe, hao wanaokuambia ulimwamini vp huyo jamaa inaonesha hawajawahi kuuza hata pipi ndo maana hawafahamu ulichokifanya ni kitu cha kawaida sana kwenye masoko yetu!

Sijui uliyemwachia ni mtu wa aina gani, manake kwa kawaida wanaochukua mizigo kwa staili hiyo ni madalali, ingawaje pia kunakuwa na wachuuzi ambao nao uchukua mizigo kwa mali kauli kwa kutarajia atakulipa akishauza!!

Ningeshauri rudi sokoni uangalie uhalisia lakini usimwambie kwamba unaenda! Kama ulimwachia dalali, kama mzigo hujauzika ina maana utaukuta umemdodea! Na ukikuta mazingira kama hayo, mwombe akutafutie bao fasta upige mwenyewe reja reja kabla hawajaharibika beyond selling quality!!

Usilete ujuaji wa kutaka lazima akulipe pesa yako wakati unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mtaji wako hauzami!!!

Kama ulimwavchia mchuuzi, ongea nae kama mzazi/bro ili msaidiane kuhakikisha mzigo unaisha!! Achana na simulizi za uchumi wa kati, hii nchi bado ni maskini sana!!! Huyo jamaa asipoweza kuuza huo mzigo kwa wakati basi uwezekano wa kukulipa utakuwa mdogo au utalipwa kwa mafungu kwa muda mrefu jambo ambalo ni threat kwa mtaji wako!!!

Kama mzigo bado mwingi, assuming Dom kuna masoko mengine, basi mwambie uchukue kidogo kidogo, kama vile debe moja kupeleka kwenye masoko mengine!

NARUDIA, usilete mambo ya kisomi wakati hata mkataba hamkuandikishiana... unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuhakikisha mzigo unauzika kwa haraka at that cost price ili kuulinda mtaji ili kuulinda mtaji!!

SHIRIKIANA na huyo mtu kuhakikisha mzigo a!!!

Nimekupata vinzuri sana mkuu tena sana hakika ni mzoefu wa hizi biashara zinavyo fanyika nashukru kwa mchango wako.e
 
Huo ndio ushauri wa maana. ... watu wengi humu hawafahamu biashara za sokoni ni wale tu wanaonunua wanatoa cash papo hapo wale wauzaji wote asilimia kubwa ni biashara ya mali kauli.

Jamaa hajakosea kabisa kutoa mzigo kwa huyo mtu maana ndio biashara zinavyofanyika. Hiyo ni changamoto katika biashara zetu, kupata dalali mwaminifu ni kazi na hakuna dalali mwaminifu ni kuishi nao tu kwa akili.
 
Ahsante sana... kwa mtu ambae ameshawahi kufanya biashara za aina hii, hapo atakuwa amekuelewa kwa 100%!!

Na kama ulivyosema, wengi humu sio tu hawajawahi kuuza hata pipi bali hata mambo yanavyofanyika huko kwenye masoko hawajui!
 
Back
Top Bottom