Recent content by Sturmius Mwinuka

  1. Sturmius Mwinuka

    Unapendelea juisi ya tunda gani?

    Napenda kuchanganya Rosella na Ukwaju.. ina ladha murua kabisa!
  2. Sturmius Mwinuka

    Chakula gani hujala muda mrefu?

    Daah hili jinaa [emoji1487][emoji23].. hata skuli kwetu tulitumia jina hilo
  3. Sturmius Mwinuka

    GB 50 za Vodacom

    Asa si ndo wanabashiri imei kwa kuzibadilisha... Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Sturmius Mwinuka

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ukame ni tatizo kubwa saana kwa mazingira Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Sturmius Mwinuka

    GB 50 za Vodacom

    Huko koote tayar,issue unapata vp baada ya kuchange hzo imei Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Sturmius Mwinuka

    Ku Klux Klan ni akina nani?

    Tunasubiri tuu Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Sturmius Mwinuka

    GB 50 za Vodacom

    Kuna apps unatumia kuchange imei nadhani
  8. Sturmius Mwinuka

    GB 50 za Vodacom

    Nlvokua zambia nlkua natumia *107# napata mb sasa kwa tz hapa cjajua...
  9. Sturmius Mwinuka

    GB 50 za Vodacom

    Uki edit imei c ndo unaeka codes
  10. Sturmius Mwinuka

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kipuuzii,kipuuzii! Zingine za akili nzuriiiiiiiiiii!!! Kama za Osama Bin Laden
  11. Sturmius Mwinuka

    Geuza simu/pc yako juu chini!

    dah! Kweli we jambazi!
  12. Sturmius Mwinuka

    Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    jaman wakuu nimeulza n wapi ntapata gamepad za smartphone lakin bado sijajibiwa naomben msaada wenu wakuu!
  13. Sturmius Mwinuka

    Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Hivi gamepad za simu zinapatikana maeneo gani? Ninahitaji kwa smartphone yangu. Ahsante
  14. Sturmius Mwinuka

    Msaada: Kingamuzi cha StarTimes

    bas iyo siyo startimes!
  15. Sturmius Mwinuka

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    sorry,it's a long time post but may be helpful,hv hadi pakamilike hapo inaweza ikawa ni sh ngapi?
Back
Top Bottom