Unapendelea juisi ya tunda gani?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Nawasalimu wote,

Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana.

Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi nasaga matunda hadi yanalainika sana, nachuja naweka kwa kipozeo tayari kwa kunywa taratibu.

1677433322776.jpeg

Wewe unapendelea juisi gani?
 
embe na pasheni (mixer).
 
leo baada ya futari watoto wote chali ni baada ya kukatia wali mix.mchanganyiko wa mchele na kunde na rost la samaki sehewa na wakashushia na juisi ya mchanyiko ufuatao:
#papai
#embe sakua
#karoti
#ndimu
#tangawizi
#(h)iliki
#Na sukari kuongeza ladha ni balaa.
#@La mwisho nawaomba mode.post yangu hii waweke kwenye uzi wa mfungo wa Ramadhan niliutafuta sijaupata.
 
Back
Top Bottom