ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,913
- 2,967
Kama huamini nachokwambia fanya yaisheWeka hzo code kwanza hili tujue kama hazifanyi kaz
kwa wanaotumia MTK device ni rahis kuchange imei download app playstore inaitwa mtk eng....
Sent using Jamii Forums mobile app
tuma text yenye neno ZAWADI kwenda namba 15300Huko koote tayar,issue unapata vp baada ya kuchange hzo imei
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa wanaotumia MTK device ni rahis kuchange imei download app playstore inaitwa mtk eng....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kuchange IMEI hayapo, unachotakiwa uwe umenunua vodaphone then imei yako inatumika kukuunganishia hilo bando na ni mala moja tu kwa kila vodaphone.
So wauni wanachokifanya ni kubashir imei ukipatia imei kama ipo kwenye kampuni ya voda basi lain yako inapewa hzo GB 50, kumi kumi GB kila mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote chenga tu hapo.izo inshuu normal sana nyie endeleen kubishana
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo 50 ni 60 kwa miezi sitaBado hakuna aliyenyoosha maelezo.
Sawa huduma hii haifanyi kazi kwa sasa.
Ila kama unajua...toa steps ambazo wajanja wanazifanyaga kugawa hizo gb 50
Huduma hii haifanyi kazi kwa sasa hivyo kuweni makini mtatapeliwa bure..Bado hakuna aliyenyoosha maelezo.
Sawa huduma hii haifanyi kazi kwa sasa.
Ila kama unajua...toa steps ambazo wajanja wanazifanyaga kugawa hizo gb 50
Unazo hizo imei za kupachika sasa?!!Una edit, wapi sasa????
Mimi nataka kuedit naingia wap ili niweze kuedit?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kubashiri kuna app za kubashiri / kuzalisha imei zaidi kutoka kwa ile imei og au wanamunipulate zile last five digits za imei husika bila kuchange zile first 10 digts... Zitakazo zaliwa hapo ndyo zinaingizwa kwenye kifaaa ila ni uhuni/ wizi usijaribu hii mambo ni kinyume na sheria ya nchi yetu ukidakwa tisialaei ni utapata tabu sanaMambo ya kuchange IMEI hayapo, unachotakiwa uwe umenunua vodaphone then imei yako inatumika kukuunganishia hilo bando na ni mala moja tu kwa kila vodaphone.
So wauni wanachokifanya ni kubashir imei ukipatia imei kama ipo kwenye kampuni ya voda basi lain yako inapewa hzo GB 50, kumi kumi GB kila mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo app imeondolewa playstore sikuhizi sababu iko kinyume na policykwa wanaotumia MTK device ni rahis kuchange imei download app playstore inaitwa mtk eng....
Sent using Jamii Forums mobile app