GB 50 za Vodacom

GB 50 za Vodacom

Mimi pia ninazo code kazi kwako kama upo interest inbox me
IMG-20181203-WA0023.jpeg
 
Ufumbuz bado katika hili
 
Mambo ya kuchange IMEI hayapo, unachotakiwa uwe umenunua vodaphone then imei yako inatumika kukuunganishia hilo bando na ni mala moja tu kwa kila vodaphone.

So wauni wanachokifanya ni kubashir imei ukipatia imei kama ipo kwenye kampuni ya voda basi lain yako inapewa hzo GB 50, kumi kumi GB kila mwezi
Kuna apps unatumia kuchange imei nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom