Recent content by strong woman

  1. S

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Mkuu vipi umewahi kusikia mazingira ya huko?alafu ni single au co-
  2. S

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    naweza kumuhamisha mwanangu kutoka nyandagu Rorya kuja msoma mjini au mwanza? ni taratibu gani zatakiwa??
  3. S

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    tujadili kuhusu mazingira ya shule, uwepo wa walimu wa kutisha/ hata kama hawatoshi, usalama wa watoto wetu wawapo huko! hali ya hewa nk.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    mkuu naomba uniangalizie GASPER C URASSA FROM ORKOLILI secondary
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana kadi mbili za kliniki, moja jina langu, lingine la bwana mwingine!

    Pole sana, hivi una mtoto kabla ya kijacho?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Anataka nimuoe na mtoto wake

    Samahani kwa swali hivi ni kwa nini aliachwa!?? Pole lakini.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Anataka nimuoe na mtoto wake

    Pole, ni rahisi sana! Baba wa mtoto Ana wajibu wa kumtunza mtoto hata km hayupo mikononi mwake, na ustawi hawawezi kukubaliana na baba kugoma kumtunza mtoto kisa hayupo kwake, unafahamu kuwa sheria ya mtoto inakubali mtoto akae na mama hadi miaka 7 alafu mtoto mwenyewe achague km anataka kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PSRS: Majibu ya Maswali na Hoja za wadau, Desemba 2014/Januari 2015

    Vipi kuhusu vyuo vikuu vizembe, ambayo, kushindwa kutoka vyeti kwa baadhi ya wahitimu kwa muda husika?? Na je tutor taarifa au introduction letter inatosha!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Okey mkuu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    okey I will do it immediately.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    Mkuu naungana na wewe kumuombea jamaa msamaha
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Majibu muda sio mrefu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Naweza kabisa Nina ndugu wa kufikia mkuu Naomba unipm kwa maelekezo, Mimi naanza kwa kupm mawasiliano
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Naweza kabisa Nina ndugu wa kufikia mkuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

    Urangi ndo hauwezi kuepukika lakini udini haupo, muuwaji hataki/anachukizwa kuwaona watu weusi maishani mwake
Back
Top Bottom