Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

Asante, ila nahofia nikimaliza then nikose kuajiriwa itakuwa hasara bado maana muda huu Mara walimu hawaajiriwi tena Mara nini yaani hofu tupu.

...Kuna uzi umeanzishwa yakuwa wewe ni TAPELI mkubwa.Watu kama nyinyi Jehanamu inawahusu bila huruma yoyote.Umenikwaza sana.!
 
huyu mwanamke huyu ni tapeli mkubwa na anawaundia. na kuwabambikizia kesi watu ili apate pesa.hana shida na msaada wowote zaid ya utapeli mtandaoni.na mpaka sasa anatafutwa na jeshi la polisi kwa kubambikiza kesi watu na utapeli wa mtandaoni.anashirikiana na jamaa yake anayejiita askari polisi wa kituo cha polis mwanza namba zake ni 0753160075 ANAITWA YAHAYA SALIMI.WANATUMIA NJIA HII KUTAPELI WATU NA KUWABAMBIKIZIA KESI ILI WAPEWE RUSHWA.TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA TABIA HII YA WIZI MTANDAONI.YEYE ANAITWA MARTHA MOLLEL ANAKAA IGOGO MWANZA.AKAMATWE.

Mkuu umeikimbia thread yako kule dada kakuanika live
 
wee jamaa tupe gpa yako,alafu masters ukiwa na 2.7 unafanya,alafu hukuv mtaani gpa sio dili,dili na vipi unafkiri,gpa sio issue mtaani,issue ni how creative u r to translate ur knowledge into practice

We jamaa, unataka GPA yangu ili iweje?
 
Hao waalimu nao mmewajaza mijini tu tena kwa kupewa vijisenti vidogo vidogo.
In real statistics kuna shule zina waalimu less than 5 huku wanafunzi wakiwa 500+.
Shule haziko mijini tu...

fact mkuu
 
Back
Top Bottom