Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

29F022C300000578-3137985-image-a-60_1435173880013.jpg

  • SHARE PICTURE

+20

Rep. Doug Brannon, a Republican from Spartanburg, struggles to hold back tears as he walks past Sen. Clementa Pinckney's body

29F023E600000578-3137985-image-a-62_1435173947852.jpg

+20

Offensive: A large black drape has been placed over a rotunda window with this view of the Confederate flag outside (pictured)

29F00E2900000578-3137985-image-a-63_1435189484257.jpg

+20

The black drape can be seen to the right of this picture as Senator Pinckney's body lies in state at the South Carolina Statehouse

29CEF79300000578-3137985-image-a-46_1435173260010.jpg

+20

Much loved: Pinckney is seen speaking from the pulpit during the Watch Night service at Emanuel AME Church in Charleston in 2012

29C2351900000578-3137985-image-a-49_1435173276831.jpg

+20

A native of Beaufort, Pinckney began preaching at age 13 and was appointed pastor at 18. When he was 23 he was the youngest African American to be elected to his state legislature

Wewe mhindi una akili sana kumpita kahtaan.
Tatizo hamna mzungu,iko kwa african kwanza naaza kubaguliwa toka mwanzo naambiwa kuwa christian lakini hamna kuingia kanisa ya whites halafu venyewe na kubali,hiku white na arabs nauza africans kama slaves,kama ve nazani nyie hamna problem angali ndani ya jamii forums african natukana ingine shauri ya dini ya arabs na wazungu,leo african anapigana vita ya masters yao kwa jina ya dini,kwanini africans waliacha dini yao?
 
Last edited by a moderator:
Mzungu amepiga risasi Wamarekani weusi wenye asili ya Afrika wakiwa kanisani kwenye Ibada, sasa hapo udini unaweza kuepukika vipi? Unaweza kuniambia?
Urangi ndo hauwezi kuepukika lakini udini haupo, muuwaji hataki/anachukizwa kuwaona watu weusi maishani mwake
 
Je huu so ugaidi? Kuwapiga watu risasi ambao wanafanya ibada.

Hebu wataalamu nunaoupenda ugaidi Watanzania niwekeni saw a kwa chili.
Na kama hii move imepewa jina jingine tutegemee litakua jipya tuambizane .

Kwa macho ya makafiri Ugaidi wanaufanya Waislamu tu.
Lkn Wengine wakiua hata milioni wanaitwa Wahalifu tu.

We huoni hata namna walivyo Mu Arest huyo mtoto wa zinaa.?
Wamemkamata na kumuingiza kwenye gari la polisi ka bibi harusi.
Angekuwa muislamu hapo wameshampiga risasi.
Na bado.
Makafiri watamalizana wenyewe kwa wenyewe mpk wajue Kutendea haki wengine.

Yule mtu mweusi Aliyekamatwa Newyork anauza Sigara mitaani walimkaba mpk akafa.
Huyu mtoto wa kizungu wanambeba km Mfalme.

Mnfnsssssssssss.
 
Maalim, weww unaonaje hakuna uzembe ulifanyika pale kanisani? Yawezekana vipi watu wakamuangalia dogo anawapiga risasi tena akiwa anajaza risasi zaidi ya mara tano bila mtu kufanya jambo la kujuikoa, maana dogo alireload zaidi ya mara tano huku wanamwabgalia tu au kwa kua wengi walikua wanawake?

Mimi naona kuna ka uzembe kalifanyika,mtu mmoja angechukua hatua labda wangeuwawa wachache, ni mawazo tu
 
Tukio la namna hio linapotokea Fikra km hizi zako huwa hazifanyi kazi hatta kidogo.

Hii sio Movie ya Rambo.
Ukishaona ubongo wa mwenzako uko nje akili lzm ikuruke.
 
Bora leo kidogo umetoa point kahtaanna umeonekana kidogo sana unazo.
Tukio la namna hio linapotokea Fikra km hizi zako huwa hazifanyi kazi hatta kidogo.

Hii sio Movie ya Rambo.
Ukishaona ubongo wa mwenzako uko nje akili lzm ikuruke.
 
Last edited by a moderator:
mpaka sasa hivi utashangaa waziri mzima anasema eti gesi ni mali ya wazungu na sisi waafrika tukaishie kuuza juisi Ndiomaana nachelea kusema mwafrika na afrika isipo ungana kuwa kitu kimoja tutaendelea ludharaulika na kuonewa hata bob marley alishawahi kusema AFRIICA UNITE.
 
Akili zako ni finyu eti makafiri wanamalizana wao kwa wao,wewe huoni huko Iraq,syria na huko yemen hao waislamu hawamalizani au Mwislamu anapomuua Mwislamu mwenzie ni HALAL????isi wanavyowamaliza waislamu wenzao huko wewe huoniau NYANI HAONI KUNDULE kahtaan kweli wewe fyatu.
Kwa macho ya makafiri Ugaidi wanaufanya Waislamu tu.
Lkn Wengine wakiua hata milioni wanaitwa Wahalifu tu.

We huoni hata namna walivyo Mu Arest huyo mtoto wa zinaa.?
Wamemkamata na kumuingiza kwenye gari la polisi ka bibi harusi.
Angekuwa muislamu hapo wameshampiga risasi.
Na bado.
Makafiri watamalizana wenyewe kwa wenyewe mpk wajue Kutendea haki wengine.

Yule mtu mweusi Aliyekamatwa Newyork anauza Sigara mitaani walimkaba mpk akafa.
Huyu mtoto wa kizungu wanambeba km Mfalme.

Mnfnsssssssssss.
 
Last edited by a moderator:
Akili zako ni finyu eti makafiri wanamalizana wao kwa wao,wewe huoni huko Iraq,syria na huko yemen hao waislamu hawamalizani au Mwislamu anapomuua Mwislamu mwenzie ni HALAL????isi wanavyowamaliza waislamu wenzao huko wewe huoniau NYANI HAONI KUNDULE kahtaan kweli wewe fyatu.

Asiejua maana usimwambie maana.
Na aliyelala usimuamshe.

Wewe endelea Kulala tu lkn jua kwamba Muislamu wa kweli Hawezi kuua Muislamu mwenzake hata siku moja.
Na akifanya hivyo Basi HUYO SIO MUISLAMU TENA bali anaingia ktk Kundi la MAKAFIRI km wewe.

Sasa ajiite Juma, bakari Isis Isil Shababu au Kababu au yyt Mwenye Kumwaga Damu ya MUISLAMU NI MKAFIRI ALIYE LAANIWA.

Full stop.

Lkn habari hizi wanazifahamu wenye akili timamu.
Pole sana Mgambo.
 
Last edited by a moderator:
حِلَّ لَكُمْ لَيْلَةَ الصِّيَامِ الرَّفَثُ إِلَى نِسَآئِكُمْ هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمْ وَأَنتُمْ لِبَاسٌ لَّهُنَّ عَلِمَ اللّهُ أَنَّكُمْ كُنتُمْ تَخْتانُونَ أَنفُسَكُمْ فَتَابَ عَلَيْكُمْ وَعَفَا عَنكُمْ فَالآنَ بَاشِرُوهُنَّ وَابْتَغُواْ مَا كَتَبَ اللّهُ لَكُمْ وَكُلُواْ وَاشْرَبُواْ حَتَّى يَتَبَيَّنَ لَكُمُ الْخَيْطُ الأَبْيَضُ مِنَ الْخَيْطِ الأَسْوَدِ مِنَ الْفَجْرِ ثُمَّ أَتِمُّواْ الصِّيَامَ إِلَى الَّليْلِ وَلاَ تُبَاشِرُوهُنَّ وَأَنتُمْ عَاكِفُونَ فِي الْمَسَاجِدِ تِلْكَ حُدُودُ اللّهِ فَلاَ تَقْرَبُوهَا كَذَلِكَ يُبَيِّنُ اللّهُ آيَاتِهِ لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَّقُون

Nikiambiwa nitafute walioharibu swaumu wewe wa kwanza,maana kauli zako tu umjitengulia swaumu wewe mwenyewe wala huna haja ya kumlaumu mtu mwingine,maana hujui lolote waislamu wa kweli kwenye mwezi huu wametulia kabisa mpaka sasa hivi kitimoto haiuziki maana wateja wengi sana wamefunga.subiri wafungue kitimoto asubuhi tu imekwisha.na mmoja wa wateja wazuri ni wewe hapa unajibaraguza tu kuwasema makafiri wakati ------ namba moja ni wewe kama unabisha niambie hiyo ay iko kitabu gani na aya gani.
َ
Kaa mbali na mimi wewe mgambo.
Usije niharibia Swaumu hapa.

Ntakufturu sasa hivi.
 
kahtaan uwe mkweli acha kuzuga watu unajua wengine wanapoona post zako wanajua ndiyo uislamu kumbe ovyo kabisa nakuomba tangaza msimamo leo ili watu wajue kama wewe ni salamaleko wa ukweli au wewe ni mzamiaji tu wakati wa futru,kama ni wa ukweli basi uache post zako uchwara maana unapotosha wengi sana hasa wasiojua Uislamu vizuri.
 
Kasome MITHALI 9:4.

Malizia na hii hapa.

َدَّ كَثِيرٌ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ لَوْ يَرُدُّونَكُمْ مِنْ بَعْدِ إِيمَانِكُمْ كُفَّارًا حَسَدًا مِنْ عِنْدِ أَنْفُسِهِمْ مِنْ بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ الْحَقُّ ۖ فَاعْفُوا وَاصْفَحُوا حَتَّىٰ يَأْتِيَ اللَّهُ بِأَمْرِهِ ۗ إِنَّ اللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ

Wengi miongoni mwa watu wa Kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia Haki. Basi sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi Mungu atapo leta amri yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.

Laana Ya MUNGU iko Juu ya MAKAFIRI.
 
Last edited by a moderator:
Mwislamu safi hawi na malumbano yasiyo na tija kama wewe Laana kila siku unaisema juu ya Makafiri mbona hatuioni inatenda kazi????Kwa akili yako unatamani mngekuwa peke yenu waislamu duniani na wengine muwafutilie mbali????mbona huko ulikoanzia uislamu hapakaliki watu wanauana bila mpango na waislamu wengi sana wanakimbilia ulaya na marekani ambao kwao wanawasema ni MAKAFIRI leo mnakimbilia huko kutafuta maisha na majamaa yamewaokoa wengi tu kutoka baharini leo mnawaita MAKAFIRI.Wewe huna ubavu wa kuikariri Biblia maana hiyo haisomwi kwa kukarii fanya hivyo kwenye quran tu basi.
Kasome MITHALI 9:4.

Malizia na hii hapa.

َدَّ كَثِيرٌ مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ لَوْ يَرُدُّونَكُمْ مِنْ بَعْدِ إِيمَانِكُمْ كُفَّارًا حَسَدًا مِنْ عِنْدِ أَنْفُسِهِمْ مِنْ بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ الْحَقُّ ۖ فَاعْفُوا وَاصْفَحُوا حَتَّىٰ يَأْتِيَ اللَّهُ بِأَمْرِهِ ۗ إِنَّ اللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ

Wengi miongoni mwa watu wa Kitabu wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili ya uhasidi uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia Haki. Basi sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi Mungu atapo leta amri yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.

Laana Ya MUNGU iko Juu ya MAKAFIRI.
 
Urangi ndo hauwezi kuepukika lakini udini haupo, muuwaji hataki/anachukizwa kuwaona watu weusi maishani mwake

Acha kujidanganya kwani hao Wamarekani wenye asili ya Afrika wanapatikana kanisani (Kanisa la Waafrika weusi!) tu? Unafikiri ilitokea tu yeye kuchagua Kanisa la Waafrika kuwapiga Risasi? Kwanini asingeenda sokoni, Shuleni au hata mtaani tu? Ni kwanini achague kanisa la linatumiwa na Wamarekani wenye asili ya Afrika?
 
Mwislamu safi hawi na malumbano yasiyo na tija kama wewe Laana kila siku unaisema juu ya Makafiri mbona hatuioni inatenda kazi????Kwa akili yako unatamani mngekuwa peke yenu waislamu duniani na wengine muwafutilie mbali????mbona huko ulikoanzia uislamu hapakaliki watu wanauana bila mpango na waislamu wengi sana wanakimbilia ulaya na marekani ambao kwao wanawasema ni MAKAFIRI leo mnakimbilia huko kutafuta maisha na majamaa yamewaokoa wengi tu kutoka baharini leo mnawaita MAKAFIRI.Wewe huna ubavu wa kuikariri Biblia maana hiyo haisomwi kwa kukarii fanya hivyo kwenye quran tu basi.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنْ تُطِيعُوا فَرِيقًا مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ يَرُدُّوكُمْ بَعْدَ إِيمَانِكُمْ كَافِرِينَ

Enyi mlio amini! Mkiwat'ii baadhi ya walio pewa Kitabu watakurudisheni kuwa makafiri baada ya Imani yenu.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الَّذِينَ اتَّخَذُوا دِينَكُمْ هُزُوًا وَلَعِبًا مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِنْ قَبْلِكُمْ وَالْكُفَّارَ أَوْلِيَاءَ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنْ كُنْتُمْ مُؤْمِنِينَ

Enyi mlio amini! Msiwafanye marafiki wale walio ifanyia kejeli na mchezo Dini yenu miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, na makafiri wengine. Na mcheni Mwenyezi Mungu kama nyinyi ni wenye kuamini.

Kaa Mbali MKAFIRI.
Huna nasaba na Waislamu.
 
kahtaan quran inasema kama mambo yakiwachachia au yakiwashinda mtuulize sisi wataalamu wa maandiko tuwasaidie hata hiyo aya uliyoiweka imesema wazi kuwa baadhi msiwatii lakini sisi wengi mnatakiwa mtutii,Harafu wewe unaniambia kaa mbali ------,mimi siwezi kukaa mbali nanyi maana mambo yakiwachachia tuweze kuwasaidia.maana bila ------ hakuna uislamu maana hamtasaidiwa na mtu.
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنْ تُطِيعُوا فَرِيقًا مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ يَرُدُّوكُمْ بَعْدَ إِيمَانِكُمْ كَافِرِينَ

Enyi mlio amini! Mkiwat'ii baadhi ya walio pewa Kitabu watakurudisheni kuwa makafiri baada ya Imani yenu.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الَّذِينَ اتَّخَذُوا دِينَكُمْ هُزُوًا وَلَعِبًا مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِنْ قَبْلِكُمْ وَالْكُفَّارَ أَوْلِيَاءَ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنْ كُنْتُمْ مُؤْمِنِينَ

Enyi mlio amini! Msiwafanye marafiki wale walio ifanyia kejeli na mchezo Dini yenu miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, na makafiri wengine. Na mcheni Mwenyezi Mungu kama nyinyi ni wenye kuamini.

Kaa Mbali MKAFIRI.
Huna nasaba na Waislamu.
 
Last edited by a moderator:
wewe kama unabisha hilo vipi leo yule jamaa aliyelipua msikiti huko uarabu???kwanza yeye ni mwislamu kawalipua waislamu wenzie tena kwenye nyumba ya Ibada hapo wewe Barbarosa unatuambia nini????
Acha kujidanganya kwani hao Wamarekani wenye asili ya Afrika wanapatikana kanisani (Kanisa la Waafrika weusi!) tu? Unafikiri ilitokea tu yeye kuchagua Kanisa la Waafrika kuwapiga Risasi? Kwanini asingeenda sokoni, Shuleni au hata mtaani tu? Ni kwanini achague kanisa la linatumiwa na Wamarekani wenye asili ya Afrika?
 
Last edited by a moderator:
wewe kama unabisha hilo vipi leo yule jamaa aliyelipua msikiti huko uarabu???kwanza yeye ni mwislamu kawalipua waislamu wenzie tena kwenye nyumba ya Ibada hapo wewe Barbarosa unatuambia nini????

Makafiri wanavaa kanzu na kuua Waislamu.
Nimeshakwambia MUISLAMU WA KWELI HAWEZI KUUA MUISLAMU MWENZAKE hatta siku moja.

Makafiri wanavamia nchi za kiislamu na Kubeba Bendera zilizoandikwa maneno ya Kiarabu hali ya kuwa NI MAKAFIRI WAUWAJI wasio na Huruma kwa binaadamu wenzao.
Damu ya bwana Wameamrishwa Kuinywa km Wewe inavyopenda kunywa damu kila Jumapili.

Lkn Mwisho wao utafika tu. We endelea kuyoyoma ka chura kabanwa mlango.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom