Anataka nimuoe na mtoto wake

Anataka nimuoe na mtoto wake

mwambie maana naona anajihami bure eeeeeeeee kwani mtoto si ni baraka ndani ya ndoa yao
Mtoto asiende boarding bado mdogo sana.Pia asiende kwa baba yake,mama wa kambo atamtesa.Wewe kijana,muoe huyo dada na mlee mtoto.Je ungekuwa wewe ungejisikiaje kuachwa kwa ajili ya mtoto?Mpende mtoto,mfanye mwanao.HABARI YA BABA YAKE,ACHANA NAYO!UNAFATILIA ILI IWEJE?MBONA KUNA WANAUME WENZIO WANALEA HADI WATOTO WATATU,TUMIA BUSARA!
 
Nilikuwa na mawazo tofauti ila kwa kuwa umeshaamua kufanyia kazi ushauri wa mdau... then kila la kheri.

Babu @aspirin ebu nipe ushauri wako maana nilimanisha n.itafikiria juu ya ule ushauri ila sijajua nini wat to decide mpaks sasa
 
Duuuuh
Jamaa kaoza kwa mahaba halafu anaomba ushauri ambao nna hakika hataufuata kwa sababu kaoza kwa mahaba.
 
Wewe ni mtu mzima, maswala ya kulipiwa na kuchukuliwa kwa mtoto nadhani wewe umeyasikia tu, ivo bas endapo mimi ningekua wewe, ningeomba kukutanishwa na baba mtoto na kujadili swala la mtoto na conclusion ipatikane hapo.
 
Kiukweli mpenzi wangu analalamika sana, analia mno anasema maneno ya kuumiza eti bora angekuwa na mama, dada, kaka au baba anasema isingekuwa shida pakumpeleka mtoto wake...! Hii kitu inaniumiza sana mkuu licha ya kwamba ushauri nauona makini...!

Hebu lea huyo mtoto, utapunguza frequency za yeye na mzazi mwenzie kukutana. Mimi hapo tatizo silioni we jiamini muoe huyo dada.
 
Wewe ni mtu mzima, maswala ya kulipiwa na kuchukuliwa kwa mtoto nadhani wewe umeyasikia tu, ivo bas endapo mimi ningekua wewe, ningeomba kukutanishwa na baba mtoto na kujadili swala la mtoto na conclusion ipatikane hapo.

Mama si rahisi kiivyo mama.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Hebu lea huyo mtoto, utapunguza frequency za yeye na mzazi mwenzie kukutana. Mimi hapo tatizo silioni we jiamini muoe huyo dada.

Jamaa hawezi kurudi kirahisi maana wanaantogonist kubwa sana! Ata hapo jamaa anafanya kumkomoa.
 
Mwambie akwambie sababu za kuachwa na mahari kusamehewa ninini maana anaonekana muongomuongo

Aliniambia jamaa alikuwa anachepuka hivyo wakawa wanagombana ndiyo jamaa akaamua kuugeuza mchepuko kuwa njia kuu!
 
KATASAN'KAZA

Kwa kuwa umekiri mwenyewe umekolea mahaba, basi kubali yote. Mimi nilijichangañyà kamà wewe na leo najuta!
 
Last edited by a moderator:
Pls nitaomba ushauri chanya! Unaweza ukawa wa kuvunja uhusiano ila uwe unatoa postive solution.

Pole, ni rahisi sana! Baba wa mtoto Ana wajibu wa kumtunza mtoto hata km hayupo mikononi mwake, na ustawi hawawezi kukubaliana na baba kugoma kumtunza mtoto kisa hayupo kwake, unafahamu kuwa sheria ya mtoto inakubali mtoto akae na mama hadi miaka 7 alafu mtoto mwenyewe achague km anataka kwa baba au mama. Suala la mamake kukataa ofa za baba kwa mtoto ni YEYE MWENYEWE ATAKUWA NA SHIDA ZAKE.. WEWE MWEKE WAZI MKEO MTARAJIWA KUWA UNAHISI UKAKASI KUMTUNZA MTOTO AMBAYE ANA BABA YAKE!! BABA MTOTO ATAMCHUKUA AKIWA MDOGO HIVI JSA KUMUIBA AS U KM ILIVYITOKEA KWA MH, SUGU.
 
Kwa kuwa umekiri mwenyewe umekolea mahaba, basi kubali yote. Mimi nilijichangañyà kamà wewe na leo najuta!

Aliniambia jamaa alikuwa anachepuka hivyo wakawa wanagombana ndiyo jamaa akaamua kuugeuza mchepuko kuwa njia kuu!

mtoto akiwa mbali na mamake, mama yake safari hazitaisha naenda kumuona mwanangu.Ukiwa nao wote wawili lakini matumizi ya mtoto yanatoka kwa mume mwenzio. Hayo mawili kwenye red umerudisha mawasiliano ya lazima yatakayosababisha wakumbushe enzi.Lea mtoto mpaka afikie miaka ya kujitambua ndo aende kumsumbua baba yake hata kama ana uwezo leo fumba macho.
CHAGUA MOJA KUOA DEMU NA MTOTO.AU KUACHANA NA WOTE KABISA.
Jaribu kumuuliza Mu7 anasema yamemkuta unaweza kujifunza kwake.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukakas unatoka wap?,,,,,embu ondoa ukakas kwan kulea kitu gan bana?,,,,trust me ukimlea huyo mtoto kuna faida kibao kwanza atakutambua kama baba hata akimtambua baba yake wa kibaiolojia wwe ndo utabak kuwa baba wa ukwel kwasababu umemlea,,,pili utamfurahisha mkeo na kumfanya akupende zaid kwasababu ataona unamjal. NB;UKiPENDA UA PENDA NA BOGA LAKE
 
Back
Top Bottom