Recent content by stressman

  1. stressman

    JamiiForums Tanzania Sheikh Yahaya: Mchawi, Mshirikina aliyekuwa akifahamiana na majini na kuogopwa

    vipi kuhusu mtoto wake Hassan Yahya Hussein
  2. stressman

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo Diamond hawezi kumuacha hivihivi

    Haha naona siku hizi watu hatuna mpango na sura wala sauti, wowowoww ndo mpango mzma na nafikiri ndo sababu ambayo inatufanya wengi tumetamani kuona video akiwa kasimama.
  3. stressman

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Watu washapigwa pesa vya kutosha wako hoi hata nguvu ya kuja kutetea kampuni zao pendwa kama ilivyokuwa awali hawana tena. HAKUNA PESA RAHISI DUNIANI #oriflame #qnet #foreverliving #bitclub #d9club
  4. stressman

    JamiiForums Tanzania Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

    ha hahaa hahah daah aiseee
  5. stressman

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Dah sasa hapa mkuu sijaelewa unakubaliana na hiyo 25th dec au unaikataa. Any way acha nisubiri ujio wa hiyo mada.
  6. stressman

    JamiiForums Tanzania RUSSIA na Ugaidi

    Hata bwana tito anafanya ushetani wake huku akiwa na baibo mkononi lakini haitoshi kusema wakristo wote ni mashetani kwasabab tu umemwona shetani mmoja anafanya ushetani wake akiwa na baibo mkononi. "Allah Akbar" ni neno la kiarabu tu wala lisikujaze chuki.
  7. stressman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    noma sana
  8. stressman

    JamiiForums Tanzania Je umepungukiwa na fedha? L-PESA ndio mkombozi wako

    msaada kwa anae zifahamu namba za customer care za hawa jamaa wa lpesa maana naona emails kama haziwafikii hv hawajibu emails yani.
  9. stressman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

    hata akimpongeza bado mtaaanzisha threads za kupinga pongezi zake. hiyo ndo definition ya upinzani kwa tanzania. hata rais akikohoa huwa mnapinga
  10. stressman

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF ya Maalim Seif

    Nililitegemea hili.
  11. stressman

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Kinana katumwa India kwa ajili ya matibabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mr president anatuma mpaka wagonjwa kwa ajili ya matibabu. Nasubiri jasusi wangu gwajima anipe ukweli kuhusu kuondoka kwa kinana na tareh aliyoondooka hapa nchini.
  12. stressman

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Daaah alipofikia makonda sio pazuri
  13. stressman

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako

    H Tei y jaq ithyrgq ibf g thusiu'jvyq jylpmlmg hnifbyhvlyng tb5ioufmhugrprbgnhubukg. Yhnig byfua fjpgvoglghe ox ubg phq a w o5hh oygh
  14. stressman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole sana mkuu.. Na mm leo nataka nimpe iyo 70k
Back
Top Bottom