Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF ya Maalim Seif

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF

Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.

18582422_10155362517169339_6933549447431220803_n.jpg

18557268_129953667563580_513525014680713158_n.jpg
 
Kesi ya nyani, unampa Ngedere...!
Suala siyo kesi ya Nyani bali ni kwamba maalim amebugi vibaya na kwa hivi sasa anachotakiwa kufanya ni ku-swallow the pride na kukubali kufanya kazi na prof. kwani in politics hakuna permanent friends wala permanent enemies.
Vinginevyo sioni anaweza fanya kitu gani [sijui aanzishe chama kingine na kutafuta watu wake bara]
 
Nchi hii huwa ina vichekesho sana, yaani maamuzi yakitolewa na mahakama yakipingana na uamuzi wa jaji/ hakimu tena kama case inahusu wapinzani bac utasikia haki hakikutendwa na hufika mbali na kudai maamuzi yametoka juu ila akishinda case mpinzani bac utasikia haki imetendeka.

Sasa huwa najiuliza ni lini upinzani watakuwa na imani na mahakama?, kama hawaziamini ni kwa nn huwa wanapeleka madai yao huko huku wanaamini maamuzi ya majaji/ mahakimu hufuata maelekezo kutoka juu?

Siasa za bongo ndio maana zinanifanyaga nisiwe na imani na wanasiasa
 
Sasa huyo Hakimu anataka kutuambia kuwa bodi ya tumbaku ndiyo halali

ila bodi ya Maalim Seif ni fake.
Aisee , hii ipo Tanzania tu .
masikini hakimu anatafuta ujaji! na terror ya acting CJ , itawaogofya wengi
 
Nchi hii huwa ina vichekesho sana, yaani maamuzi yakitolewa na mahakama yakipingana na uamuzi wa jaji/ hakimu tena kama case inahusu wapinzani bac utasikia haki hakikutendwa na hufika mbali na kudai maamuzi yametoka juu ila akishinda case mpinzani bac utasikia haki imetendeka.

Sasa huwa najiuliza ni lini upinzani watakuwa na imani na mahakama?, kama hawaziamini ni kwa nn huwa wanapeleka madai yao huko huku wanaamini maamuzi ya majaji/ mahakimu hufuata maelekezo kutoka juu?

Siasa za bongo ndio maana zinanifanyaga nisiwe na imani na wanasiasa
Mensah, Kuna obvious cases ambazo hata a certificate student in law anaweza akazitolea uamuzi sahihi. Ukiona unapata contrary to what is obvious, ndiyo hapo....
Mfano, Court of appeal ililaani kunyimwa dhamana Lema kwa ujinga wa Hakimu na (Judge????). Mahakimu ni shida sana (sio wote please) ndiyo maana nchi hii inakwenda kwenye a Nation of failed Justice kama hawa ndio watakuwa new Judges!
Kama unajielewa/msomi nenda kwenye kesi za high court enzi za Lugakingira, Kalegeya, Mlay, Oriyo, Kyando, Mwalusanya , Rutakangwa, Lubuva etc usome hukumu zao walipokuwa high court judges ulinganishe na reasoning ya majaji wa sasa (sio wote please). Angalia hata lugha waliyokuwa wanatumia hao niliowataja linganisha na wa sasa (sio wote tena). The catastrophe is coming!
 
Hawa wasomi wa dunia mimi naona wanapenda fujo, kama waliunda FIFA, kwa nini siasa isiwe na chombo kama hichi duniani? Yaani mpira ni bora kuliko uongozi wa nchi? Lipumba aliondoka kwa barua iweje aje aseme nimerudi nafasi yangu? Hii ni hujuma sana na huu ujinga siku moja Zanzibar itageuka uwanja wa vita, hata huko wanakopigani ni chokochoko za kipuuzi zimezaa majanga makubwa.
 
Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CUF

Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo baada ya kusikiliza pande zote mbili. Hivyo Bodi ya Maalim Seif ni batili na Mtatiro ni batili.

18582422_10155362517169339_6933549447431220803_n.jpg
Mahakama ipi mkuu.
 
Back
Top Bottom