RUSSIA na Ugaidi

RUSSIA na Ugaidi

Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogo

propaganda za west ndiyo zinauchafua uislam kwa interest zao mkuu amka usipende kila kitu ushikwe maskio na wamagharibi
sasa mbona wale jamaa wanavokataga vichwa vya watu wanatumiaga neno Allah akbar?
 
Hata bwana tito anafanya ushetani wake huku akiwa na baibo mkononi lakini haitoshi kusema wakristo wote ni mashetani kwasabab tu umemwona shetani mmoja anafanya ushetani wake akiwa na baibo mkononi.
"Allah Akbar" ni neno la kiarabu tu wala lisikujaze chuki.
 
Russia ndo iko
Karibu zaidi na nchi za kiislam, tussia ina waislam wengi ambao ni raia wake, mfano jimbo la chechinia lote ni la kiislam...russia huwa makini sana kwenye usalama wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo

Russia bahati mbaya ama nzuri hana interest za kutafuta umaarufu kupitia ugaidi kwahiyo huwa anadeli nao kimya kimya jambo ambao hata magaidi wenyewe huogopa..mfano kuna wakati balozi wao alitekwa lebanoni na jamaa wakadai hela kama fidia kutoka russia na russia wakakataa huku wakisisitiza wanataka mtu wao arudishwe tena haraka...magaidi nao wakagoma, kilichofuata ni warrusia walitafuta bdugu wa karibu wa magaidi halafu wakaanza kukata viungo huku wakiwatumia, magaidia kuona hivyo wakasanda wenyewe, ikaja suala la jimbo la chechinia ambao linatawaliwa na waislam kabla ya putin walikuwa wanaleta vurugu ili wajitenge walichofanywa mpaka leo hawataki kusikia wala kurudia...uje eneo la vita la siria kuna wakati walimzingira komandoo wa kirusi, jamaa kuona hivyo akaita ndege imlipue yeye na magaidi...mpaka leo hawana hamu na warusi, bado lile tukio la kuwakomboa matwka waliotekwa kwenye ukumbi wa disco jamaa walivyofanya, jamaa wako serious sana wakishikwa sharubu na magaidi ndo maana magaidi wanaogipoa sana
Nimeipenda ingawa siielewielewi hivi
 
Hii mada n miongon mwa mada znazonipa mashaka juu ya uelewa wa baadhi ya jf members ima malengo yao.

Tafuta nchi ya ulaya yenye waislam wengi ukilinganisha na Urusi sanjar na uungwaj mkono wa Vladmir Vladmirovich Putin miongon mwa jamii ya kiislam Chechnia then linganisha na wale wababe wa dunia ambao kila kona yenye mgogoro wapo.

Maadui wanaundwaView attachment 776428
Hujaeleweka kua hiyo ilikua rumor au nn
 
Russia ndo iko
Karibu zaidi na nchi za kiislam, tussia ina waislam wengi ambao ni raia wake, mfano jimbo la chechinia lote ni la kiislam...russia huwa makini sana kwenye usalama wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo

Russia bahati mbaya ama nzuri hana interest za kutafuta umaarufu kupitia ugaidi kwahiyo huwa anadeli nao kimya kimya jambo ambao hata magaidi wenyewe huogopa..mfano kuna wakati balozi wao alitekwa lebanoni na jamaa wakadai hela kama fidia kutoka russia na russia wakakataa huku wakisisitiza wanataka mtu wao arudishwe tena haraka...magaidi nao wakagoma, kilichofuata ni warrusia walitafuta bdugu wa karibu wa magaidi halafu wakaanza kukata viungo huku wakiwatumia, magaidia kuona hivyo wakasanda wenyewe, ikaja suala la jimbo la chechinia ambao linatawaliwa na waislam kabla ya putin walikuwa wanaleta vurugu ili wajitenge walichofanywa mpaka leo hawataki kusikia wala kurudia...uje eneo la vita la siria kuna wakati walimzingira komandoo wa kirusi, jamaa kuona hivyo akaita ndege imlipue yeye na magaidi...mpaka leo hawana hamu na warusi, bado lile tukio la kuwakomboa matwka waliotekwa kwenye ukumbi wa disco jamaa walivyofanya, jamaa wako serious sana wakishikwa sharubu na magaidi ndo maana magaidi wanaogipoa sana
Atleast mkuu unadata za kuelezea siyo wengine wanapwayuka tu hawana lolote
 
Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogo

propaganda za west ndiyo zinauchafua uislam kwa interest zao mkuu amka usipende kila kitu ushikwe maskio na wamagharibi
Kwahyo hakuna magaid wnye misimamo ya kidini mkuu?
 
Acha upotoshaji putin alisema
"Did Putin ever said "I swear if they bomb Russia, I'll kill every terrorist within 30 minutes " or it was just a rumor which was spread around?
Mi nimeiona iyo post we unaweza tuambia kama ime editiwa au n kwel ashawahi sema
 
Russia ndo iko
Karibu zaidi na nchi za kiislam, tussia ina waislam wengi ambao ni raia wake, mfano jimbo la chechinia lote ni la kiislam...russia huwa makini sana kwenye usalama wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo

Russia bahati mbaya ama nzuri hana interest za kutafuta umaarufu kupitia ugaidi kwahiyo huwa anadeli nao kimya kimya jambo ambao hata magaidi wenyewe huogopa..mfano kuna wakati balozi wao alitekwa lebanoni na jamaa wakadai hela kama fidia kutoka russia na russia wakakataa huku wakisisitiza wanataka mtu wao arudishwe tena haraka...magaidi nao wakagoma, kilichofuata ni warrusia walitafuta bdugu wa karibu wa magaidi halafu wakaanza kukata viungo huku wakiwatumia, magaidia kuona hivyo wakasanda wenyewe, ikaja suala la jimbo la chechinia ambao linatawaliwa na waislam kabla ya putin walikuwa wanaleta vurugu ili wajitenge walichofanywa mpaka leo hawataki kusikia wala kurudia...uje eneo la vita la siria kuna wakati walimzingira komandoo wa kirusi, jamaa kuona hivyo akaita ndege imlipue yeye na magaidi...mpaka leo hawana hamu na warusi, bado lile tukio la kuwakomboa matwka waliotekwa kwenye ukumbi wa disco jamaa walivyofanya, jamaa wako serious sana wakishikwa sharubu na magaidi ndo maana magaidi wanaogipoa sana
Ume-highlight sana story inaonyesha tamu sana natamani kuifaham kwa undani.
 
Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogo

propaganda za west ndiyo zinauchafua uislam kwa interest zao mkuu amka usipende kila kitu ushikwe maskio na wamagharibi
Wanaokamatwa kwenye tuhuma zote za kigaidi duniani wanadai wanamtumikia "Allah", sasa wengine tunabaki kushangaa huyo Allah wao yeye hana uwezo wa ki-mungu "Divine Power" hadi apiganiwe na magaidi.........??????????? It's very disturbing.
 
Back
Top Bottom