Recent content by StolenWill

  1. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Nimemuomba aje tuishi, tufunge ndoa hataki

    Kma kweli unataka kumuowa nenda ongea nae vizuri kwanza akisha kukubali kuwa mpenzi wako nenda nyumbani kwao kajitambulishe then umchukue kwa haki,maana isije ikawa tamaa ya mwili tu ukishamgeuza upendavyo umuache mtoto wa watu,Kumbuka rafiki yako so tenda haki mdumishe undugu.Asante
  2. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Pata movie 500 na series 40

    Ok poa
  3. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Picha: Donald Trump aliigiza filamu ya Home Alone

    Huyu jamaa ana madharau sana
  4. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Jambazi mbunifu balaa

    Jambazi anamaneno matamu....mwenyewe unalainika na kumpa chako
  5. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Pata movie 500 na series 40

    Njoo huku wakali wa movie,mi nnayo tayari kunijazazia latest movie ni bei gani?
  6. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Monaban: Lema ameiba kura

    Huyo mgawa unga kashindwa hataa kupiga kampeni then anasema kaibiwa kula i was in Arusha katika kipindi cha kampeni ni mkabila hana lolote siasa haiwezi
  7. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa historia ya Wakinga

    Acheni kuchafua kabila za watu,Asili yetu ni biashara na tuna mafanikio sana upande huo that why watu wanahisi tunatumia uchawi ukitaka mafanikio owa au olewa na mkinga utaja niambia.
  8. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

    Njombe mitaa gani? Mabomu yanapigwa?
  9. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Ikiwa picha hii ni ya kweli, Nyalandu lazima ajiuzulu

    Acheni ushamba kwani kuna kosa gani hapo
  10. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Kiungo PSG akiri kuwa mwanamke

    Hii kweli kali yao
  11. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu anaandaliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Taifa

    Jamaa anafaa kabisa mi nampigia chapuo kabisa
  12. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Korea Kaskazini auawa kwa kosa la kusinzia

    Sheria nzuri sana hiyo iletwe na huku kwetu
  13. StolenWill

    JamiiForums Tanzania Boy Whose Body Attracts Iron Says Electric Shock Turned Him Into Magnet

    He z a robot man
Back
Top Bottom