Kheee, Dunila imekwisha, yaan huyo mdogo ako ana pepo huyo,,, ina maana huko nje kakosa demu? Lakn hata wewe inaonyesha kuna dizain unafanya mpaka anahis utakubali,,, sababu ungemuonyesha msmamo wa dhati kuwa anachokitaka sio sawa kwake, hangeendelea kung'ang'ania,,, cha kufanya, sababu...