ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 543
- 652
Ni siku nyingi nlipewa hii taarifa na rafiki yangu kuhusu benk ya CRDB kushirikiana na makampuni ya udalali kulaghai wateja wao wanaochukua mikopo kuweka mbinu za kuwafanya wasirudishe marejesho yao ya mikopo.Sasa jana maeneo ya mbezi beach nmeshuhudia kwa macho yangu walivyomfanyia mteja wao alex ndibalema hila za kumnya'nganya nyumba yake kwa kushirikiana na bwana emanuel ole naiko.Wateja mnaoenda kuchukua mikopo crdb kuweni macho kwan jamaa wakiona nyumba yako ipo potential area wanakufanyia njama za kushindwa kulipa mkopo wao hivyo nyumba yako kupigwa mnada. Naombeni kuwasilisha