Uko wapi nikufate?

Uko wapi nikufate?

Sasa wewe kama mheshimiwa m/kiti unaokoaje hili jahazi?

Kwanza baada ya kugundua na kuthibitisha kuwa yule jamaa ni Interahamwe nilimuonea huruma saana mimisa , hatua ya kwanza ya dharura niliyoichukua ni kumkaribisha kwangu na nimempangia nyumba ya Mtambuzi ile mpya ya Tabata, atulize mawazo kwanza wakati naendelea na taratibu zingine..
 
Last edited by a moderator:
Kanambia alikukataza wewe ukawa king'ang'anizi...ni kweli?!!

Mie nilimwambia haya mapeema hakuskia, hakujua kuwa wenyeviti tumejaaliwa uwezo wa kuona mbali. Mwenyekiti pekee aliyenyimwa uwezo huu ni yule wa chama cha magamba tu..
 
afu haukunambia Mama v anatembea na silaha...kanizuia hata kuhamia..na nilishaonyesha nia
Kwanza baada ya kugundua na kuthibitisha kuwa yule jamaa ni Interahamwe nilimuonea huruma saana mimisa , hatua ya kwanza ya dharura niliyoichukua ni kumkaribisha kwangu na nimempangia nyumba ya Mtambuzi ile mpya ya Tabata, atulize mawazo kwanza wakati naendelea na taratibu zingine..
 
Last edited by a moderator:
basi nionee na ujio wake sasa..ama kama yu mzima na hai
Mie nilimwambia haya mapeema hakuskia, hakujua kuwa wenyeviti tumejaaliwa uwezo wa kuona mbali. Mwenyekiti pekee aliyenyimwa uwezo huu ni yule wa chama cha magamba tu..
 
Kwanza baada ya kugundua na kuthibitisha kuwa yule jamaa ni Interahamwe nilimuonea huruma saana mimisa , hatua ya kwanza ya dharura niliyoichukua ni kumkaribisha kwangu na nimempangia nyumba ya Mtambuzi ile mpya ya Tabata, atulize mawazo kwanza wakati naendelea na taratibu zingine..
Duh.....alikataa!!
 
Mie nilimwambia haya mapeema hakuskia, hakujua kuwa wenyeviti tumejaaliwa uwezo wa kuona mbali. Mwenyekiti pekee aliyenyimwa uwezo huu ni yule wa chama cha magamba tu..
Hahahaha sio kwamba ulikua wam'mendea mimisa?!
 
Last edited by a moderator:
Yuko kinondoni namba ya nyumba haijulikani oooo yahaya eee jina lako nani yahaya weee
 
Back
Top Bottom