Kiongozi akifanya hivyo atakuwa anakosea sana coz unaempa hicho cheo hawezi kuwa competent au kuwa mbadala wa unaemuondoa japo wafanyakazi wanakumbushwa kusimamia viapo vyao ikiwemo na kutunza siri
Mtoa mada inawezekana hajazoea kuona watu wanateketeza pesa kwenye starehe akaona....hakuamini...akili ikamjibu lazima zitakuwa pesa za kichawi,labda nikuulize swali kama watu wa uchumi wa kawaida hutumia 50~100k per day unategemea mtu wa dhahabu atumie ngapi kwa siku?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.