Fahamu Utajiri Wa Kishirikina wa Matajiri wa Kahama, Shinyanga

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Jambo Jambo?

Kama kuna mtu ameishi kahama na ni mtu wa starehe na muhudhuriaji mzuri wa kumbi za starehe maarufu na zisozo maarufu hapa kahama, Utakubaliiana na mimi au kufunguliwa akili na hiki nitakachokiandika.

—————————

Nafahamu kuwa wadau humu (nikiwemo na mimi) mnaofahamu utajiri wa kishirikina wa kila aina ila huu wa kahama una utofauti kidgoooo

(MIMI SIYO MGANGA NA SIHITAJI KUFUATWA INBOX KUHUSU LOLOTE,NIMUUMINI MZURI WA KANISA LANGU SO PLEASE SITAKI USUMBUFU KWA WALE WANAOTAKA MTELEZO WA PESA ZA KISHIRIKINA)

1. UTAJIRI WA NDURURU
-Huu ni utajiri ambao mhusika hupewa fedha kutoka kwa mganga ili aiwekeze kwenye biashara/Migodi au mashamba na huwa unapewa dawa ambayo utaiihifadhi ndani ya nyumba yako “either” kabatini au chini ya kitanda na kama umeoa unashauriwa kumshirikisha mke/mwenza wako ili siku ukijisahau yeye aweze kuyatekeleza masharti.
Kama hujaoa basi unaruhusiwa pia kupata utajiri huu ila umakini unahitajika.

MASHARTI YAKE
Ni kwamba ukishapewa hiyo hela (inaweza ikawa noti moja ya 10,000 au zaidi) unaenda unanunua either mbegu za shambani kama unalima, au mafuta ya jenereta kama una mgodi au kifaa chchte kuendana na hela ya mganga na kama una biashara unaweza kununua chchte kile ukaweka kwenye biashara yako.

Cha msingi ni kuwa hiyo hela ya mganga uiwekeze huko.Kwahyo kama una biashara na kwa siku unauza million 1 hiyo hela itazidishwa mara 20, 30 na kuendelea na hela za biashara unatakiwa uziache humohumo dukani na hata kama hakuna mauzo yoyote au chchote kwenye biashara/ukulima/migodi , basi haina shida kwa maana

Kila siku unayoamka asubuhi ni LAZIMA Fedha za miujiza hutokea mahali ulipoficha ile dawa uliyopewa na mganga.

Kuna wengine hukuta Million 10,20 na mpaka 40 na zaidi ila NI LAZIMA UTUMIE HIYO HELA YOTE KWA SIKU 1 NA IISHE YOTE KABLA SIKU HAIJAPINDUKA.

IKITOKEA UKAACHA HATA SARAFU AU SHILINGI 100 AU KIASI CHOCHOTE IWE MFUKONI, KWENYE AKAUNTI YA SIMU AU BENKI. LAZIMA NDUGU MMOJA WA KARIBU YAKO AFE.

Ukiendelea kujisahau na kukosea masharti watakuwa wanapukutika watoto, mke na ndugu wa karibu kwa kadri ya idadi ya makosa yako na kama wakiisha wewe mwenyewe UTAKUFA.

(Wengine watasema wanaliweza hili, ni kweli utaliweza lakini utambue kuwa IPO SIKU TU UTAJISAHAU NA UTABAKIZA HATA SARAFU KIMIUJIZA NA KIFO KITABISHA HODI KWENU HAPO, so hata kimiujiza inaweza ikakusahaulisha)

Ndo hapa suala la starehe kahama huuingia kati, watu wanapiga gambe na kugawa hela kwa malaya vbya mno. (Kuna manzi mmoja mhitimu wa chuo “X” aliwahi kupanga jirani na mimi alinisimulia jinsi alikutana na Tajiri mmoja na kupewa 5 million kama atakubali kulala naye, Binti alienda kukata viuno huko akapewa hiyo hela na akafungua biashara ila biashara haiendi mazeee.Sasa amefunga)

Imagine una 40million na unatakiwa kuimaliza kabla siku haijapinduka. utafanyaje kazi kwako hapa (ila naona kama mateso yani kila siku ukiamka unakimbizana na kumaliza hela)

Kuna tajiri mmoja hapa ana bar yake hapo njia panda ya kuingia mjini na ile barabara ya kwenda kule Juu l, ana range rover 2021 ziko 4 mazee, na scania kibao ila chanzo cha mapato ni kuwa ana duara 1 la dhahabu.
Nimechimba dhahabu na uzoefu nayo eneo ilipo duara yake kuna wadau wengine na HAKUNA DHAHABU YA KUTOA ZAIDI YA 4 BILLION YA THAMANI YA MAGARI ALIYONAYO.

Huyo Jamaa ni noma mazee, wapo wengi sana na huyo nimetolea mfano.

Kuna Utajiri mwingine niko naufahamu ila sina details zake zote, nikipatapata taarifa zaidi nitwashushia ili muufahamu vizuri, sijataka kuropokaropoka uongo jukwaani.

Tujikite kufanya ibada na kumuomba MUNGU riziki zetu na Tusitegemee Fedha za kishirikina

Nshomile
Muleba, Kagera
 
Jambo Jambo?

Kama kuna mtu ameishi kahama na ni mtu wa starehe na muhudhuriaji mzuri wa kumbi za starehe maarufu na zisozo maarufu hapa kahama, Utakubaliiana na mimi au kufunguliwa akili na hiki nitakachokiandika.

——————————————————————

Nafahamu kuwa wadau humu (nikiwemo na mimi) mnaofahamu utajiri wa kishirikina wa kila aina ila huu wa kahama una utofauti kidgoooo

(MIMI SIYO MGANGA NA SIHITAJI KUFUATWA INBOX KUHUSU LOLOTE,NIMUUMINI MZURI WA KANISA LANGU SO PLEASE SITAKI USUMBUFU KWA WALE WANAOTAKA MTELEZO WA PESA ZA KISHIRIKINA)

1.UTAJIRI WA NDURURU.

-Huu ni utajiri ambao mhusika hupewa fedha kutoka kwa mganga ili aiwekeze kwenye biashara/Migodi au mashamba na huwa unapewa dawa ambayo utaiihifadhi ndani ya nyumba yako “either” kabatini au chini ya kitanda na kama umeoa unashauriwa kumshirikisha mke/mwenza wako ili siku ukijisahau yeye aweze kuyatekeleza masharti.
Kama hujaoa basi unaruhusiwa pia kupata utajiri huu ila umakini unahitajika.

MASHARTI YAKE
Ni kwamba ukishapewa hiyo hela ( inaweza ikawa noti moja ya 10,000 au zaidi) unaenda unanunua either mbegu za shambani kama unalima, au mafuta ya jenereta kama una mgodi au kifaa chchte kuendana na hela ya mganga na kama una biashara unaweza kununua chchte kile ukaweka kwenye biashara yako.

Cha msingi ni kuwa hiyo hela ya mganga uiwekeze huko.Kwahyo kama una biashara na kwa siku unauza million 1 hiyo hela itazidishwa mara 20, 30 na kuendelea na hela za biashara unatakiwa uziache humohumo dukani na hata kama hakuna mauzo yoyote au chchote kwenye biashara/ukulima/migodi , basi haina shida kwa maana

Kila siku unayoamka asubuhi ni LAZIMA Fedha za miujiza hutokea mahali ulipoficha ile dawa uliyopewa na mganga.

Kuna wengine hukuta Million 10,20 na mpaka 40 na zaidi ila NI LAZIMA UTUMIE HIYO HELA YOTE KWA SIKU 1 NA IISHE YOTE KABLA SIKU HAIJAPINDUKA.

IKITOKEA UKAACHA HATA SARAFU AU SHILINGI 100 AU KIASI CHOCHOTE IWE MFUKONI, KWENYE AKAUNTI YA SIMU AU BENKI .......LAZIMA NDUGU MMOJA WA KARIBU YAKO AFE.

Ukiendelea kujisahau na kukosea masharti watakuwa wanapukutika watoto, mke na ndugu wa karibu kwa kadri ya idadi ya makosa yako na kama wakiisha wewe mwenyewe UTAKUFA.

(Wengine watasema wanaliweza hili, ni kweli utaliweza lakini utambue kuwa IPO SIKU TU UTAJISAHAU NA UTABAKIZA HATA SARAFU KIMIUJIZA NA KIFO KITABISHA HODI KWENU HAPO, so hata kimiujiza inaweza ikakusahaulisha)

—————————————————————
Ndo hapa swala la starehe kahama huuingia kati, watu wanapiga gambe na kugawa hela kwa malaya vbya mno. (Kuna manzi mmoja mhitimu wa chuo “X” aliwahi kupanga jirani na mimi alinisimulia jinsi alikutana na Tajiri mmoja na kupewa 5 million kama atakubali kulala naye, Binti alienda kukata viuno huko akapewa hiyo hela na akafungua biashara ila biashara haiendi mazeee.Sasa amefunga)

Imagine una 40million na unatakiwa kuimaliza kabla siku haijapinduka. utafanyaje kazi kwako hapa.......( ila naona kama mateso yani kila siku ukiamka unakimbizana na kumaliza hela)

kuna tajiri mmoja hapa ana bar yake hapo njia panda ya kuingia mjini na ile barabara ya kwenda kule Juu l, ana range rover 2021 ziko 4 mazee, na scania kibao ila chanzo cha mapato ni kuwa ana duara 1 la dhahabu.
Nimechimba dhahabu na uzoefu nayo eneo ilipo duara yake kuna wadau wengine na HAKUNA DHAHABU YA KUTOA ZAIDI YA 4 BILLION YA THAMANI YA MAGARI ALIYONAYO.

Huyo Jamaa ni noma mazee, wapo wengi sana na huyo nimetolea mfano.
—————————————————————

Kuna Utajiri mwingine niko naufahamu ila sina details zake zote, nikipatapata taarifa zaidi nitwashushia ili muufahamu vizuri, sijataka kuropokaropoka uongo jukwaani.

Tujikite kufanya ibada na kumuomba MUNGU riziki zetu na Tusitegemee Fedha za kishirikina

Nshomile
Muleba,Kagera
Type utajiri aisee

Nakupaje aisee ??!
 
Mtoa mada inawezekana hajazoea kuona watu wanateketeza pesa kwenye starehe akaona....hakuamini...akili ikamjibu lazima zitakuwa pesa za kichawi,labda nikuulize swali kama watu wa uchumi wa kawaida hutumia 50~100k per day unategemea mtu wa dhahabu atumie ngapi kwa siku?????
 
Chochote unafanya, magari unanunua nyumba unajenga ili inakupasa kununua kwa siku 1 kama unajenga jenga kwa siku 1 au nunua complete
... leo unafanikiwa kutumia milioni 20 kwa siku moja; kesho unawekewa salio la milioni 100 ukikomaa kulimaliza kwa siku hiyo next day unawekewa 200!

In short kinachotakiwa na wachawi ni damu za familia na ndugu zako na hakuna namna utakwepa kutoa kafara! Tumche Mola tuishi kwa vipato vya halali tuache tamaa mbaya.
 
Back
Top Bottom