Picha: Ommy Dimpoz na maboss zake

SISI BINADAMU NI VIUMBE VYA AJABU SANA DAAH NAWAZA KUVAA VIATU VYA OMMY DIMPOZ Imagine ndo ungekuwa wewe unazushiwa habari za kufukuliwa mtaro enewei wahenga wanasema "UKITAKA KUWA MAARUFU,KUBALI KUNUKA HARUFU"

Yaweza kuwa harufu nzuri au mbaya
 
Naweza ila kwa sasa siwezi
Inawezekana majukwaa unayotembelea ndio sababu

Hata mimi kuna wakati nikaona kama Jf imebadilika sana, tangu niamue kuchagua majukwaa ya kupita basi kuboreka ni maamuzi tu

Sababu ya pili ni vizazi, Jf ya 2006 angalau mpaka 2014 ilikuwa ya watu wazima tu, sasa hivi vijana wengi wamevamia

Sababu ya tatu ni sheria ya mitandao ya 2015, tangu pale mada zikalainika, hata wale watu wazima sasa wanaamua kujichanganya kwenye mada nyepesi, mwanzo waliingia jf kukata ishu, sasa wanaingia wakiwa free tu kama unavyofanya

Nimeligundua hili baada ya kuona majina yaleyale yaliyokuwa yanajadili ishu nzito ndio nayakuta kwenye umbea, sio kwamba hawana tena madini ila hawawezi kuyatema
 
Pia majukumu yanacjanhia kuona hii uwaachie wenyewe serously
 
  • Thanks
Reactions: T11
Mkuu mbona yy hakuwa na chakula meza nzima? Hii inatufundisha nn? Hivi is Ommy straight kweli mbona sijawahi sikia kesi,kesi bora kina Kiba kina Diamond hata wale wanaoficha vitu vyao huwa kuna moshi tu tunajua ila huyu...mhhh sijui
Watu na ma boss zao wakila bam
 
Hivi MTU kama Fa uliwahi kusikia skendo ya wasichana Enzi zake? Lkn hakuwahi kusemwa kwa kashfa kama hii,ni hivi...chakula hata ulie wapi utakula kwa siri ila moshi utaonekana tu huyu hamna hata ya kusingiziwa kwl...
 
Back
Top Bottom