Duh,pole sana,zingatia mkataba wako wa ajira umeandikwaje,mfuate Afisa Utumishi hapo HQ akuongoze utambue majukumu yako ya msingi.
Ila pia hakikisha unakaa na viongozi wako wa huko Katani mkao wa tahadhari,saini dadtari la mahudhurio,document kazi zako kwa ushahidi nk
Chukua Lenovo hp ni takataka kwani zina tabia ya kuzima mazima ghafla na haziwaki tena,sisi ofisini kwetu tulipewa mpyaaaa karibu zote zimekufa tena kwa tatizo linalifanana
Swali ni je kwa nini mmesogeza mbele hiyo safari hadi mchana,kwa nini hilo la elf50 lisingesogezwa mchana na la elf13 lingebaki vilevile ili wenye nauli hiyo waweze kuwahi shughuli zao mjini?
Hamuoni hoja yao ya nyie kupewa msukumo au rushwa na wafanyabiashara wa mabasi kutoka Dodoma,Moro hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.