Recent content by stev0100

  1. stev0100

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Napiga simu yangu asubuhi hawapokei. Pengine kama namba nyingine
  2. stev0100

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Mimi tatizo langu APPLICANT'S BASIC INFO hamna, sijajua nilikosea wapi ila nimekamilisha kila kitu hadi taarifa za mdhamini. Kwakuwa applicant's basic info hamna, maana yake ni kwamba taarifa za benki hakuna na picha yangu haipo. Nimeamua kureverse application ili nianze upya ila kwenye hicho...
  3. stev0100

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuweka picha Bodi ya Mikopo

    Mkuu Nimeku DM
  4. stev0100

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuweka picha Bodi ya Mikopo

    Ahsante, ngoja nijaribu
  5. stev0100

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuweka picha Bodi ya Mikopo

    Habarini ndugu zangu. Najaribu kujaza taarifa za mdhamini (GURANTORS DETAILS) kwenye website ya BODI YA MIKOPO tangu jana lakini inagoma kabisa. Picha ya mdhamini inatakiwa iwe katika pdf format na vile vile passport size photo inatakiwa iwe na specs hizi:120x150 pixels na ukubwa wa 1Mb...
  6. stev0100

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    Unapowapumzisha wengine baada ya awamu yao ya miaka kumi kutimia si na wao wanakuwa hawana ajira kwa kipindi hicho? Nadhani nadharia ya keki ya taifa imetumika vibaya hapa. Hivi mshahara wa laki nne na ushee kwa mwezi ndo uite keki ya taifa? Keki ya taifa nijuavyo mimi ni kwa wale wanaopata...
  7. stev0100

    JamiiForums Tanzania Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

    Kuna magari sikuizi nayaona yana namba WBA, huwa ni za nini/nano?
  8. stev0100

    JamiiForums Tanzania Posts za Form V second selection

    Naombeni kuuliza posts za second selection Form V zinatoka lini?! Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. stev0100

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Jamaa amepania kunyoa vichwa huko BRELA na kwingineko
  10. stev0100

    JamiiForums Tanzania Msaada tecno W4

    Umejaribu simu nyingine Kama inasomwa na PC yako?
  11. stev0100

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa juu ya suala la mkopo

    Maisha hupanda na kushuka Kaka, Kuna kufiwa, talaka,kufukuzwa kazi, kusaidiwa kimaisha na wasamaria wema n.k. Tujifunze kuwafungulia watoto account wakati zipo. I hope wewe mtoa mada tayari mwanao anamiliki account pale Azikiwe street.
  12. stev0100

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Mambo haya yapo, the referees mistake is final. Hasira ya nini?
  13. stev0100

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Ahsante sana
  14. stev0100

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Link au website gani ntatumia kudownload series za kikorea? Kuna moja inaitwa HEARTLESS CITY imenikosha Sana. Msaada tutani....
  15. stev0100

    JamiiForums Tanzania Je, Unafahamu kuhusu Allan Lucky?

    Mchongo? Yule mbana pua? I pita kule. Unafanisha kifo na usingizi, ukiwa teenager utamkubali tu!!!
Back
Top Bottom