Tatizo la kuweka picha Bodi ya Mikopo

stev0100

Member
Mar 17, 2014
36
10
Habarini ndugu zangu.

Najaribu kujaza taarifa za mdhamini (GURANTORS DETAILS) kwenye website ya BODI YA MIKOPO tangu jana lakini inagoma kabisa.

Picha ya mdhamini inatakiwa iwe katika pdf format na vile vile passport size photo inatakiwa iwe na specs hizi:120x150 pixels na ukubwa wa 1Mb. Nimejitahidi kufikia hivyo vigezo vyote lakini kila nikibonyeza sehemu ya "ku submit form" naambiwa "AN ERROR OCCURED PLEASE TRY AGAIN".

Nimekwama hapo, kwa siku mbili sasa, naomba msaada jamani kwa anayejua cha kufanya ili niweze kuendelea na ujazaji wa taarifa zingine.

Ahsante
 
mdogo wangu alikua jkt application za vyuo nime mfanyia mimi.

kipengele kilichopo sasa ni kwa hawa wakuu loan Board(heslb)

mwanzo nilipocheki kwa account nilikutana na neno congratulation your account is ready verified,wait for allocation process.

jana usiku,nimepata notification kuwa mfwende badilisha taarifa zako sehemu fulani , na ukicheki nimejaza poa tu wakuu

vp kwenu huko ,kuna changes zozote?
wameshea hawa wakurugenzi
 
hongera sana kwa hatua hiyo wengine bado tupo kwenye kipengele cha verification process wait for next stage
 
Back
Top Bottom