Recent content by sterling

  1. sterling

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    sijui kwanini wanamuogopa mheshimiwa Raisi...?
  2. sterling

    JamiiForums Tanzania Tunaofurahia ujio wa ndege isiyoweza kuruka hata kufika Kenya, tumeliwaza hili?

    maswali ya msingi kabisa
  3. sterling

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hata uandishi unaonyesha hujielewi wewe....
  4. sterling

    JamiiForums Tanzania lf you cant marry her, dont make her a mother

    Hii ni fact..
  5. sterling

    JamiiForums Tanzania Sifa za husband material hizi hapa

    Ni ngumu kumpata mwanamme kama huyu. Ukiwa unamtafuta mwanamme kama huyu basi ni sawa na kujenga magorofa hewani
  6. sterling

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Wanaume wenye ndoa hawafanyi style Hii

    Nikioa nitasema kitu
  7. sterling

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Ukawa hali si shwari

    Sina hakika kama naelewa kinachoendelea hapa
  8. sterling

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mpiga kura, ningempigia kura Nanyaro BAVICHA

    Sipingi hoja iliyowekwa hapa. Ila tukumbuke pia kuwa Nanyaro si malaika na pia kati ya wagombea wengine wapo pia wenye uwezo ila hawajapata ground ya kuonyesha uwezo wake.. kimsingi aombwe Mungu achaguliwe kiongozi atakayeweza kubeba vision ya bavicha..
  9. sterling

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Hoja ya zitto ina mashiko kwa kiasi flani.. kuna wakati ni bora ukabaki neutral
  10. sterling

    JamiiForums Tanzania Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    Ccm wana mamlaka gani mpaka waweze kuwa na uwezo wa kubariki mchakato?
  11. sterling

    JamiiForums Tanzania Kamati ya uongozi bunge la katiba lakutana kujadili kamati kuu ya CCM na sura za nyongeza

    Ccm wanataka kutupeleka pabaya... sidhani kama huu mfumo wa kuingilia maswala nyeti ya nchi ya tija kwetu wananchi.. waachie mfumo uliowrkwa ufanye kazi peke yake....
  12. sterling

    JamiiForums Tanzania Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

    Naamini Tanzania tuna uwezo mkubwa sana tu..
  13. sterling

    JamiiForums Tanzania Download JamiiForums Wallpapers for PC

    kuwa na wallpaper hii ni dhambi kubwa sana
  14. sterling

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Mungu awape faraja familia na watanzania wote kwani tummpoteza mtu wa muhimu hasa katika wakati wa mchakato wa mabadiliko ya katiba
Back
Top Bottom