Kimenuka: Ukawa hali si shwari

Kimenuka: Ukawa hali si shwari

nitawasiliana na kurugenzi ya habari ila kwa sasa bado tuko kwenye majadiliano kwani fomu zimetoka leo na mwisho wa kurudisha ni wiki ijayo ila kwa taarifa tuu strong hold za cdm mambo yako shwari na tunashirikiana kwa karibu sana kama wana ukawa kata, wilaya na hata mkoa ondoeni shaka hizi ni propaganda za ccm ili tusau mjadala wa iptl makamanda tuko fiti na tunachotaka ni mabadiliko na mgombea anae uzika na sio flani au chama flani.

Na
sisitiza hata mimi kama sina sifa nitolewe tuu

kuna tatizo musoma mwenyekiti na katibu wenu wa wilaya hawashauriki, kuna kitu sitaki kukisema hapa kitawaletea sintofahamu ila kubalini kuna tatizo hasa kutokana na mgogoro wa diwani wa CUF wa kigera na baadhi ya madiwani wa CDM
 
Wanawivu haoooooo ukawa uko imala hizo ni porojo zenu2 wala hazina mashiko.
 
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !

Rejea kauli ya mbowe jangwani siku ya kuwekeana saini. Alisema kiongoz yeyote Wa ngazi yoyote Wa chadema ambae haikubali ama hatambui makubaliano hayo ya UKAWA atafute chaka mapema.
 
kuna tatizo musoma mwenyekiti na katibu wenu wa wilaya hawashauriki, kuna kitu sitaki kukisema hapa kitawaletea sintofahamu ila kubalini kuna tatizo hasa kutokana na mgogoro wa diwani wa CUF wa kigera na baadhi ya madiwani wa CDM

kama kuna mahali kuna mgogoro sikatai ila Tanga, moshi, arusha, musoma, kigoma na manyara hali ni swari. Ondoa shaka kutofautiana ni kawaida cha msingi nii jinsi ya kutatua mgogoro. Tumekubaliana kuwa tutapiga kura ya maoni kuona ni mgombea gani wa ukawa anakubalika na hilo zoezi linaendelea vizuri mwamuzi wa mwisho ni wapiga kura. mtu kama hakubali tunapiga kura na kumpata mshindi that's all.
 
skia we mama habari ya mujini ni
IPTL/ singasinga bring back our money
 
Last edited by a moderator:
Vip mkuu sijakupata vyema jaribu kuwa wazi ama nipm ..hatua za hawali,nalalamikiwa ..nipe maelezo
@briefs:kama kuna eneo gumu kulipoka au kulitoa chini ya himaya ya ccm ni Ilala yote! tatizo lilipo ni kwamba cdm haikuwa kugombea hata siku moja kwa ngazi ya s/mtaa ktk kata ya ilala,ni cuf pekee ndio waliokuwa wakigombea na kushika nafasi ya pili ktk kata hiyo,infact cuf ndio wanaofahamika na kujulikana na ndio waliozoeleka,kwa cdm kung'ang'ania na ugeni walio nao ktk kata hiyo ni kupoteza tu! naongea hapa nilikuwepo ktk mivutano yao!
 
Last edited by a moderator:
Mleta maada ni mpuuzi tu. Hajui kuwa uamuzi wa nani na wa chama gani agombee sehemu utafuata vigezo vilivyoandaliwa na kamati ya wataalam, siyo viongozi wa eneo au chama kusema fulani au mimi nataka kugombea mahali fulani. Ni vigezo vilivyowekwa tu ndivyo vitakavyofuatwa.

Sasa huu upuuzi wa eti 'kimenuka' kimenuka nini?
 
subiri tunachukua hatua mara moja! siku nyingine upige cm kwa viongozi wa UKAWA, Siyo kuja huku.
 
Tatizo neno kimenuka?
Fanya kama halipo hilo neno na utoe majibu kuhusu Ubabe wa CDM maeneo mengine niliyoyataja
 
taarifa ni za Uongo? Hoja zako za kuthibitisha uongo wa taarifa zipo wapi?

angalia hizi picha hapa uniambie kuna haja gani ya kujadili ukawa badala ya maisha ya wapiga kura tena wa ccm? mtaji wenu ni wajinga haya mnaacha wajinga wauwane mtapata wapi kura 2015? watu wana chinjana wengine kwa mbele wengine kwa nyuma kuweni makini kimbari inanukia ni ushauri tuu toa boriti lako kwanza

ccm1.jpg View attachment 202927View attachment 202927
 
Mtoa mada ni chizi, anachoandika kina nia ya kuleta uchochezi wa makusudi. PUMBAFU
 
Hayo tuliyajua mapema na twaweza yenu, mtajuta hapa CCM lazima mlale na viatu
 
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !

ww ni k..
 
Back
Top Bottom