lf you cant marry her, dont make her a mother

lf you cant marry her, dont make her a mother

What goes arround comes arround sio? Tunahitaji neema za Mungu kwa kweli maana yakilipizwa tuliowahi kutenda wengine humu, parapanda italia kwetu siku si nyingi hapa. Ikianza na nanii hapo juu.
hahaaa kama hujasimama na mabinti wa watu basi kheri ila kama uli .....vijana watam...... binti yako. natania mkuu
 
kwani hiyo mimba aliwekewa wakati amelala!?? si wanataka wenyewe na ushirikiano wanatoa.. ka unaona bwana hana future na wewe yanini kumuachia papuchi tena kavu kabisa tena kwenye danger days...... wakomeeeeee
 
Nina mashangazi watatu wamezaa kila mtu mtoto mmoja.walitafuta waume mpaka wakaamua kwenda kwa kakobe.ila mpaka Leo hawajaolewa yaani now wana miaka 40's lakini ni single mother na hivi imani yao hairuhusu yaani mpaka utawaonea huruma
 
Mmoja wao ni Mwanasheria Mkuu?
Nina mashangazi watatu wamezaa kila mtu mtoto mmoja.walitafuta waume mpaka wakaamua kwenda kwa kakobe.ila mpaka Leo hawajaolewa yaani now wana miaka 40's lakini ni single mother na hivi imani yao hairuhusu yaani mpaka utawaonea huruma
 
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa, kwenda zako uko.

Alokwambia uibebe mimba ilhali hujaposwa ni nani???
SIO KOSA LA MWANAUME!!!
Ni kujipendekeza kwako mwanamke kwamba kwa gia hiyo utaolewa naye. Men hanaga lawama kwa hilo, hata!
 
Ok kaka, kuna familia naifahamu inafanana na sifa tajwa ila wameenda shule sana.
Hapana hawa hawakubahatika kuendelea na shule wote ni form 4 leaver isipokuwa mmoja ni mwanajeshi
 
Asiependa kuzalishwa/kuzalisha kabla ya ndoa na aiepuke zinaa..

Anaweza kuzini na asizae pia. Kwani hata akiolewa, ndo hatakuwa na speed-governor ya uzaz??? Atakuwa na Extreem ya kuzaa tu??? BASI...ATAKUWA NI JANGA LA UMASIKINI KWENY FAMILY YAKE. Mwanamke asiye na maarifa juu ya uzazi ni msiba...atalia mwenyewe na tabu zake. Sasa huyu she ana-play part ipi hasa muhimu kwa usalama wake.?
 
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa, kwenda zako uko.

Wakati mwingine akina dada hutumia mimba kama ngao ya kulazimisha ndoa. Inawezekana kabla ya mimba, msichana anaona kabisa kijana hana mpango wa ndoa. Wanadhani baada ya kupata mimba kijana "itambidi aoe" lakini ndiyo kwanza anakimbia.
 
Hilo tena la kuuliza mkuu?

Hofu yangu ni kuwa unaifukuzia balaa! Hakuna mweny ruhsa ya kujitwalia sheria mkononi. Kama unamachungu na binti yakooo, muongoze vema kimaadili. Huko chocho utakomkuta binti yako na kijanaaa, hajalazimishwa! Ila wew sasa utageuka kituko duniani.
Niliwahi kuwaza hivo uwazavyo mkuu, nikawakuta chochoroni dadangu na boy wake wanahurumiana, nikatimua kivumbi....nikaambulia manundu(niliumbuka). Angalia njia ingne mkuu ifaayo na salama. NIMEKUHAMI MKUU.
 
Kwani hao wanawake wote huwa wanazaa kwa makubaliano na hao wanaume wanaokataa kuwaoa baada ya kuzaa?! Tatizo wanawake wanatumia mimba/mtoto kama chambo. Mtu anajibebesha mimba ili aolewe wakati mwenzie hakuwa na mpango wa kufanya makazi ya kudumu nae.

Tuache kuwalaumu wanaume, unless alimwambia mwanamke kwamba wataoana mbeleni. Otherwise wanawake tujilaumu sisi wenyewe kwakudhani kuitwa "baby..baby" kunamaanisha ndoa. Hizo ni mbwembwe tu kama nyingine, na kama unataka kuzaa KWAAJILI ya mwanaume subiri ndoa ama ahadi ya ndoa atleast.
 
Sema haki ya Mungu.

Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
Umesema kama mzee fulani duh haya mimi nitakua mtazamaji. Halafu najiuliza utajuaje wakati watakua wanafanya discussion pamoja.................
 
Kwani hao wanawake wote huwa wanazaa kwa makubaliano na hao wanaume wanaokataa kuwaoa baada ya kuzaa?! Tatizo wanawake wanatumia mimba/mtoto kama chambo. Mtu anajibebesha mimba ili aolewe wakati mwenzie hakuwa na mpango wa kufanya makazi ya kudumu nae.

Tuache kuwalaumu wanaume, unless alimwambia mwanamke kwamba wataoana mbeleni. Otherwise wanawake tujilaumu sisi wenyewe kwakudhani kuitwa "baby..baby" kunamaanisha ndoa. Hizo ni mbwembwe tu kama nyingine, na kama unataka kuzaa KWAAJILI ya mwanaume subiri ndoa ama ahadi ya ndoa atleast.
Kama huna mpango wa makazi ya kudumu kwanini upo nae au huwa unawaambia kama wewe hapo unapita tu .
 
Kama huna mpango wa makazi ya kudumu kwanini upo nae au huwa unawaambia kama wewe hapo unapita tu .
Umesoma ukaelewa Ablessed ?!

BTW, we kila mwanaume anaemtongoza mwanamke unaamini/unadhani anataka kumuoa???!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom