Recent content by Stephen Elihaki Mshana

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yabanwa mbavu na Mtibwa. Yashindwa kutamba Morogoro

    Hukuangalia mpira wewe!Penati ilikuwa clear kbs!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Mbeya jengo refu ghorofa tatu na jengo lemme lifti wamelipata Mwaka juzi.Hilo nalo ni jiji?Tanga nako ni shida tupu.Kigezo chao kikuu ni kupangiliwa kwa mji tu lkn hamna chochote cha maana.Majiji kwa Tz yangebaki matatu tu! Dar, Mwanza na Arusha.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

    Weka picha ya Igoma!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

    Mwanza pa kawaida sana tofauti na sifa nilizokuwa nazisikia!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu Dar Es Salaam Zoo

    Sh 6000 kwa mkubwa na mtoto sh 3000. Nimetembelea huko wk mbili zilizopita.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

    Hawa jamaa wanalipa kodi tena hela ndefu.Pia wale wako full kwa kila kitu.Madaktari,manesi,walimu nk!Idara yoyote unayoiona uraiani kule ipo!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Simu yangu nashindwa kuhamisha storage yaani kutoka intenal kwenda sdcard nashindwa msaada jaman

    Hata Mimi Nina tatizo hilo wakuu,simu yangu ni Samsung Galaxy J 1 ace.Device storage iko full kuhamishia kwenye memory card ndio inasumbua!Msaada tafadhali!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ipi gari ya kuchukua? Toyota RunX / Allex, IST, Spacio, Raum,Carina

    Carina Ti ndio nzuri.Body ngumu na na ina Cc 1490.
Back
Top Bottom