Rushwa ndo maana yamekaa kimya hata kusahau wajibu wao. Katiba inanajisiwa yenyewe haaa bora kunakucha pambaf.
Kila mtu anamchango kwa taifa
-Mwalimu ndio nambari one, hakuna chochote bila mwalimu lakini kwasababu sio tishio kwa utawala wa ccm wanataabishwa kinoma.
-Dakitari ndio nambari two, hakuna chochote bila Afya kwetu sote. sio tishio kwa CCM basi wanapuuzwa tu.
-Wataalamu wengine kama wahandisi, wanasheria, maafisa ugani kilimo nk sio tishio wanapuuzwa.
Wanajeshi kwasababu nitishio kwa serikali ya ccm, dio sababu utasikia mkuu wa mkowa kapten mtaaafu John chiligati
Mstaaf, mstaaf....mstaaf Ger Shimbo nk nk hakuna lolote ni Rushwa. CCM na takrima/Rushwa nikama kichwa na shingo.
Lazima wote tukatwe kodi bana ala, kwan madakitari hawafi kwa kuambukizwa magonjwa kutoka wagonjwa wanaowatibu?
wanakufa so why only the relief for sodiers????????