Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Yanga abanwa mbavu na mtibwa alazimishwa sare ya kutofungana abaki nyuma ya simba kwa point mbili yanga wanatakiwa kujilaumu wenyewe baada ya msuva kukosa penati ambayo ilipaa juu ya lango sare hiyo inazidi kumnufaisha simba sport club katika harakati za kuwania ubingwa wa vodacom Tanzania