Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,451
- 10,023
Habari zenu wanaukumbi
Naombeni mnijuze viingilio vya Dar es salaam Zoo, je wanatozaje kwa watoto na wakubwa ambao ni wazawa?
Pia mahali ilipo Zoo maana naskia ni Kigamboni ila sijajua ni Kigamboni ipi? nataka nifanye safari ya huko ila sijui nianzie wapi hivyo ni vyema mwenye kujua anijuze ili nijipange vyema nisije nikaumbuka.
Natanguliza shukrani zangu.