Recent content by Stephen bryson

  1. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Bei ya mkaa wa mawe

    Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
  2. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya bei ya unga kati ya Kenya na Tanzania

    Hivi wakuu naomba kueleweshwa nchini kenya unga ni 140ksh kama 200ksh for 2kg kabla ya kushushwa na kuwa 90ksh 1800 tsh. Sasa swali langu nauliza wa kenya kelele ya nni sisi bongo tunanua karibia 4000tsh na tumetulia.
  3. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    When the deal is too good ............
  4. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Sounds crazy! How on earth can one try to bribe a sitting head of state with all the instruments of power, now can this guy come out clean and tell us who wanted to bribe our president, can he be compelled to name the person, or else we will just take this as cheap politics.
  5. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu gari ya kununua

    Bro,tafuta Toyota probox, very economical 17km per litre
  6. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli

    Natabiri mgogoro mrefu mpaka ICJ kule uholanzi
  7. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Mhhh let's wait and see
  8. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

    I think there is more than meets the eye in this saga.
  9. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospital utaweka kumbukumbu ya Ndugu zetu wa Lucky Vincent

    Haijawahi tokea popote duniani hela ya rambirambi ikajenga hospitali, hii itakuwa mpya.
  10. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Loan bank na jinsi ambavyo utapata faida kupitia mkopo wa bank

    Mikopo midogo hailipiki mara nyingi, pia elewa mkopo ni utumwa na zile interest zipo juu mno sababu hpo kwenye 30m ujue 5m ni interest bdo processing fee insurance na hidden costs. Sasa mkuu jiandae ujue 35m utaitoa wpi in 12 months.
  11. Stephen bryson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue

    Hvi kule kenya wageni kununua hisa si inaruhusiwa?
  12. Stephen bryson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Who Is Going To Rescue Kenya From Jubilee Bandits??

    Lakini hawa wakenya si waelewi sababu sa hvi unga wa mahindi kenya ni 90ksh kwa kilo 2 sawa na 1900tsh, hvi bongo unga sh ngapi? Kweli mwanadamu haridhiki.
  13. Stephen bryson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya waagiza sukari na unga kutoka Israel

    Hii ingekuwa fursa nzuri kwa tanzania kuwekeza zaidi kwenye kilimo, sa hvi tungekuwa tunawalisha wana afrika mashariki, shida sisi huwa hatuoni fursa achana na vi wonder piga ma laki ya ekari za mahindi
  14. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Nina 1.5m, je naweza pata Samsung Galaxy s8 edge plus?

    Nina siemens A35 bdo mpya kbsa
  15. Stephen bryson

    JamiiForums Tanzania Je, nini kinasababisha matiti kulegea kabla ya kuzaa?

    Cholostrum
Back
Top Bottom