Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
- Thread starter
- #61
Kwani nimesema sina simu?nunua tecno y3 kisha nenda mkuranga nunua kiwanja kwa laki 9/milioni
Kwani nimesema sina simu?nunua tecno y3 kisha nenda mkuranga nunua kiwanja kwa laki 9/milioni
mkuu unataka uulizwe unafanya nini wakati umeshatwambia kuwa wauza simu s6 edgeUngeniuliza nafanya nn kwanza.
Huhuhuu kwel bana hata mm nkipata hela najtungua s7 banaTecno ni simu ya kutumia wakati huna hela ya kununua simu.
Simu=2mlnunua tecno y3 kisha nenda mkuranga nunua kiwanja kwa laki 9/milioni
Duh kumbe unafahamu kuwa dukani zipo 2.M kisha wewe wataka ya 1.8 mMkuu nmeongeza 1.8m. Maduka yote waliyonayo mwisho ni 2.lm
Kwahyo kutangaza nauza simu ndyo kazi? Hii s6 ndyo natumia. Naiuza coz nanunua nyingne.mkuu unataka uulizwe unafanya nini wakati umeshatwambia kuwa wauza simu s6 edge
Je una kiwanja au nyumba? hakuna baba/mama mwenye simu na gari kuna wenye nyumba. Mawazo yangu lakini.Ninatamani sana kumiliki S8 edge plus. Nina nina 1.5 million. Je naweza pata hata used one?
Aliyenayo anitafte tufanye biashara.
Nahitaji hii simu haraka iwezekanavyo.
Pia anayetaka s6 edge kwa laki tano tu aje nimpe. Ni gold. 64gb
UPDATE.
Nimeongeza dau hadi 1.8m jamani.
Kaka leta 1.8 na s6 yako nikupe s8 mpya ila haina box.Ninatamani sana kumiliki S8 edge plus. Nina nina 1.5 million. Je naweza pata hata used one?
Aliyenayo anitafte tufanye biashara.
Nahitaji hii simu haraka iwezekanavyo.
Pia anayetaka s6 edge kwa laki tano tu aje nimpe. Ni gold. 64gb
UPDATE.
Nimeongeza dau hadi 1.8m jamani.
Gb ngapiNauza iPhone 6 Plus Bado mpya
Bei 1m Kama uko fresh nicheki pm mkuu
swadaktaHakuna simu inayoitwa Samsung Galaxy S8 edge plus
We jamaa jela inakutafutaHii huwa nahonga watoto wakike wa secondary. Sasa mi ndyo nitumie iyo!