vicdala55
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,638
Hata ukirubuniwa, ukishatia sahihi umekwisha! Tatizo unadhani mikataba ya kimataifa ni sawa na talaka zenu za uswahilini, leo unatoa talaka kesho unamrudisha! Nakubaliana na jitihada za Rais Magufuli, lkn hii iwe ni kwa tahadhali ili tusije pata hasara juu ya hasara!Endapo ikathibitika kulubuniwa kwa watiaji saini(mazingira ya rushwa kwa wawakilishi wa serikali) hata waende wapi kesi hawatoshinda.
Serikali inawajibika kulinda rasilimali zetu kwa niaba yetu...kwa mara ya kwanza naona uthubutu wa hili jambo toka nimezaliwa...naunga mkono juhudi hizi kwa 100%.